Hii tabia ya wabunge wa Chadema kutohudhuria mikutano ya maendeleo ya Rais Magufuli itaisha lini?

Nani ataenda kwa mtu asiye na staha anatukana wapinzani?

Yaani kuna watu hawana staha za kisiasa kabisa...unatukana na ku-belittle your opponents ili iweje?

Wasipokuja inakuumia nini hasa?
 
Nani kakuambia?......mbona Lowassa tulikuwa naye pale chuo kikuu The Hill!

Lowassa sio mwanacdm bali ni mwanaccm aliye ukimbizini kusaka urais kwa kutumia hela zake. Wanaohudhuria hiyo mikutano ya magu wengi ni wale wanaotaka hisani ya rais au kutaka kurejea ccm. Hamna mwanacdm anayejitambua anaweza kuwepo sehemu ambayo magu atapewa nafasi ya kufanya siasa majitaka.
 
Sasa shida ni pale unaenda kupokea rais halafu rais anachukulia kama vile umeenda kumpora kiki!! Lazima aanze kukuuliza maswali ya kebehi na kukudhalilisha bila sababu za msingi,mi naona bora tu wasiendeb
Ndio siasa hiyo jifunzeni kwa mzee Lowassa!
 
Ndio siasa hiyo jifunzeni kwa mzee Lowassa!
Hizo siyo siasa mkuu! Mukifanya siasa za kebehi mbunge wa upinzani na rais basi ni hatari sana! Hasa pale rais mwenyewe anapokuwa kama magufuli! Huyo mbunge atalazimika kufanyiwa sala ya toba kabla hajashuka jukwaani!
 
Wakati Rais Magufuli alipofanya ziara na mikutano katika mikoa ya Iringa na Morogoro wabunge wote wa kanda hiyo walishiriki kikamilifu. Miongoni mwao ni Rev Msigwa, Prof J, Suzan Kiwanga, Lijualikali na yule Devotha Minja walihudhuria lakini wabunge wa kaskazini hasa Arusha wamekuwa vichwa maji sana.
Rais anaongea na wananchi jimboni kwako wewe mbunge haupo maana yake ni nini?!.......hata haka kanassari kanamuigaiga Lema bila kutafakari kwa kina.
Acheni ujinga bhana kama vipi mjiuzulu tuchague wawakilishi sahihi!
Haipo kikatiba
 
JIULIZE KWANZA, HUO UJINGA WA KICHAA/JIWE KUWADHALILISHA WABUNGE WA UPINZANI KILA ANAPOFANYA ZIARA KWENYE MAJIMBO YAO ATAACHA LINI? NA PIA HUU UJINGA WA CCM KUFANYA ZIARA ZAVIONGOZI WA KISERIKALI KUWA ZA KICHAMA UTAISHA LINI
 
Back
Top Bottom