Hii tabia ya wabunge wa Chadema kutohudhuria mikutano ya maendeleo ya Rais Magufuli itaisha lini?

Ninawadharau sana viongozi wa cdm wanaohudhuria mikutano ya Magufuli. Hiyo inayaitwa kufungua miradi ya maendeleo ni sehemu ya kampeni za ccm na ni sehemu Magufuli anayotumia madaraka yake kuwadhalilisha wapinzani. Uzuri wananchi wa Arusha wameshajua aina ya siasa chafu za Magu wala hawashoboki naye na huwa wanawashangaa viongozi wa cdm wanaohudhuriwa hiyo mikutano ya siasa chafu. Kusanyeni wanaccm kwenye hiyo mikutano na mmeachiwa uwanja wa kuunga mkono siasa chafu za Magu. Wananchi wa Arusha wana maendeleo kabla hata ya huyo magu, na hizo huduma wanazipata kwa hela zao na sio kwa kujinyenyekeza. Mmekwenda mmevaa uniform za ccm ilikuwa ni uzinduzi wa ofisi ya ccm? Watu wa huko vijijini ndio wanamshobokea rais na hizo siasa majitaka. Nawapongeza sana viongozi wa cdm kutokuhudhuria kwenye hizo hafla za siasa nyepesi.
Weweee usiwasemee wananchi wa Arusha..wananchi wa Arusha tupo na tumeshaachana na madalali ya kimataifa..hayatusaidii kitu chochote sana sana yanashibisha matumbo yao...ni heri mara mia tuungane na mzalendo kujenga uchumi zetu..hatutaki mtusemee....mmesikiaaa...!! Acheni ushenziiii
 
Wakati Rais Magufuli alipofanya ziara na mikutano katika mikoa ya Iringa na Morogoro wabunge wote wa kanda hiyo walishiriki kikamilifu.

Miongoni mwao ni Rev Msigwa, Prof J, Suzan Kiwanga, Lijualikali na yule Devotha Minja walihudhuria lakini wabunge wa kaskazini hasa Arusha wamekuwa hawashiriki.

Rais anaongea na wananchi jimboni kwako wewe mbunge haupo maana yake ni nini?!.......hata Nassari anamuiga Lema bila kutafakari kwa kina.
Acheni hii tabia bhana kama vipi mjiuzulu tuchague wawakilishi sahihi!
TWENDE NA MEMBE 2020
FB_IMG_1543835313677.jpeg
 
wanamwachia uwanja afanye "siasa"! JPM ni mtu aliyejaa uoga na hofu zisizo na kichwa wala miguu, anakosa amani wengine wanapofanya siasa! busara ni kumwachia nafasi afurahi.
Asante sana kwa point muruwaaa
 
Wakati Rais Magufuli alipofanya ziara na mikutano katika mikoa ya Iringa na Morogoro wabunge wote wa kanda hiyo walishiriki kikamilifu.

Miongoni mwao ni Rev Msigwa, Prof J, Suzan Kiwanga, Lijualikali na yule Devotha Minja walihudhuria lakini wabunge wa kaskazini hasa Arusha wamekuwa hawashiriki.

Rais anaongea na wananchi jimboni kwako wewe mbunge haupo maana yake ni nini?!.......hata Nassari anamuiga Lema bila kutafakari kwa kina.
Acheni hii tabia bhana kama vipi mjiuzulu tuchague wawakilishi sahihi!
Hawakualikwa waangeendaje? Mtu mwenyewe wakienda anageuza shughuli zakiserikali kuwa kampeni za chama chake
 
Back
Top Bottom