Hii tabia ya wabunge wa Chadema kutohudhuria mikutano ya maendeleo ya Rais Magufuli itaisha lini?

Kwani majimbo yasiyokua na maendeleo sababu ni Wabunge wao walikua hawahudhurii mikutano ya Marais?
 
Hata mimi ningekuwa mbunge wa upinzani wala nisigekanyaga kwenye hiyo mikutano ya jiwe kwani kufanya hivyo utaambulia dhihaka,kejeli, masimango na kudhalilishwa tu...
 
Mwanasiasa kuogopa kudhalilishwa ni upumbavu......mbona Lowassa mlimdhalilisha sana lakini leo ndio anaongoza vikao vyenu vya kamati kuu?!!.....acha upumbavu kamanda!
What's so special na hyo ya jiwe kwa asiyehudhuria.
bichwa gumu kuelewa!!!Unahudhuriaje kwenye mkutano ambao huwezi kutoa kero zaid ya yeye kutaka kusifiwa?Vijana wa slowly mnaulewa mdogo au mnajifanyisha tu ili madam mnakula matunda ya unafiki na uzandiki mithili ya wafuasi wa tajir mchawi shetani!!!!.....finished i have no time to argue with guttered mind set
 
Wamevunja sheria gani?au katiba inawlzimisha kufanya HVO?so jambo zuri lakini hawjafanya kosa lolote.huna haki ya kuwatukana.inawezekana we ndo mjinga kwa kutokujua kwamba hakuna katiba,sharia wala kanuni waliyo ivunja.
 
Huu ujinga wa kila inapopatika a nafasi ya kuongea kwa uma bila kujali ni msibani,kanisani au popote pale lazima CHADEMA iongelewe kwa kejeli utaisha lini ili nchi isonge mbele?
 
Hahahahaha anakuwa ameshajiandaa kuwadhalilisha, ana maindi kichizi asipowakuta. Ni eiza yuko paranoidi au yuko obsesidi na wapinzani hususani wale mwiba.
 
Wakati Rais Magufuli alipofanya ziara na mikutano katika mikoa ya Iringa na Morogoro wabunge wote wa kanda hiyo walishiriki kikamilifu.

Miongoni mwao ni Rev Msigwa, Prof J, Suzan Kiwanga, Lijualikali na yule Devotha Minja walihudhuria lakini wabunge wa kaskazini hasa Arusha wamekuwa hawashiriki.

Rais anaongea na wananchi jimboni kwako wewe mbunge haupo maana yake ni nini?!.......hata Nassari anamuiga Lema bila kutafakari kwa kina.
Acheni hii tabia bhana kama vipi mjiuzulu tuchague wawakilishi sahihi!
Tabia ya kuwa dhalisha viongozi wa upinzani majukaani ina wafanaya wakae kando
 
Hao wabunge wanakimbia aibu kule walitangaza kuwa ARUSHA ni eneo lillo la jamhuri ya chadema Magufuli hawezi kanyaga ataabika mikutano atakosa watu na propaganda kibao .Sasa anafika wanakuta umati ndio wanakimbia.Na hao wabunge wala hawakimbilii mbali ni chooni kujificha hadi raisi amalize mkutano.Msako ungefanyika vyooni Nassari angekutwa choo kimojawapo
 
Ubunge ni uwakilishi usisahau hilo!
Usiwe kama mpigadebe wa gari bovu! Hivi unajua kuwa kuna kualikana katika mikutano ya rais? Kama mkuu wa mkoa au wilaya hakumwalika huyo mbunge atajipelekaje? Yaani mbunge anaonyeshwa dharau tangu mwanzo kisha ajitoe ufahamu akahudhurie ili akadhalilishwe kama Heche huku miradi ya maendeleo ikinyimwa pesa kwa sababu za kuongozwa na upinzani!
Wasiende tu kwa kujipeleka kwani hawana moyo wa kuvumilia uongo kudhalilishwa mbele ya wapigakura wao!
 
2020 Wapinzani watakuwa na Wabunge wengi sana bungeni..... Maana kipindi hicho Jiwe na watu wake watakuwa wana haha kuokoa jahazi, Wataiba kura ili kumuokoa jiwe ila watasahau za ubunge na madiwani...... Wakija kushtuka karibu wabunge wote ni wa upinzani......
 
Wakati Rais Magufuli alipofanya ziara na mikutano katika mikoa ya Iringa na Morogoro wabunge wote wa kanda hiyo walishiriki kikamilifu.

Miongoni mwao ni Rev Msigwa, Prof J, Suzan Kiwanga, Lijualikali na yule Devotha Minja walihudhuria lakini wabunge wa kaskazini hasa Arusha wamekuwa hawashiriki.

Rais anaongea na wananchi jimboni kwako wewe mbunge haupo maana yake ni nini?!.......hata Nassari anamuiga Lema bila kutafakari kwa kina.
Acheni hii tabia bhana kama vipi mjiuzulu tuchague wawakilishi sahihi!
Utaisha atakapoacha kuwababikiza kesi. Jaribu kutumia akili ya kuzaliwa, unajua kila jamaa akikuona anapandwa na shetani, utafanya mazoea ya kumfuata fuata? Labda uwe umechoka kuishi uraiani.
 
Hizo siyo siasa mkuu! Mukifanya siasa za kebehi mbunge wa upinzani na rais basi ni hatari sana! Hasa pale rais mwenyewe anapokuwa kama magufuli! Huyo mbunge atalazimika kufanyiwa sala ya toba kabla hajashuka jukwaani!
Wabunge wa chadema waoga sana!
 
Wakati Rais Magufuli alipofanya ziara na mikutano katika mikoa ya Iringa na Morogoro wabunge wote wa kanda hiyo walishiriki kikamilifu.

Miongoni mwao ni Rev Msigwa, Prof J, Suzan Kiwanga, Lijualikali na yule Devotha Minja walihudhuria lakini wabunge wa kaskazini hasa Arusha wamekuwa hawashiriki.

Rais anaongea na wananchi jimboni kwako wewe mbunge haupo maana yake ni nini?!.......hata Nassari anamuiga Lema bila kutafakari kwa kina.
Acheni hii tabia bhana kama vipi mjiuzulu tuchague wawakilishi sahihi!
Hii ni mikutano ya maendeleo au ya kampeni?
 
Itaisha huyo jiwe akiweza kucontrol mdomo wake
 
Unahudhuriaje wakati hujaalikwa!?

utasikia maendeleo hayana chama. Kesho utasikia mlichagua upinzani ndio maana hamna maendeleo.

Anapenda kupata huruma ya wananchi sana.
 
Back
Top Bottom