Nilikua napenda sana kufanya malipo ya Serikali kupitia bank fulani kwa njia ya simu ila baada ya miezi mitatu nkatia mashaka mwenendo wa hesabu zangu kwenye account, ikabidi nianze kufuatilia balance kila baada ya miamala kadha madudu niliogundua jamaa wezi sana.
Alafu tabia nyingine ya pesa ni hivi,
Mi nikiwa na hela nyingi nakosa kabisa appetite(hamu) ya kula...yaani naweza kaa kutwa nzima bila kula...ikifika muda wa kulala ndo nahisi njaa
Sikutarajia kama kwenye huu uzi nitasoma comment kama hii, afadhali kuna watu wanafikiria kutoa. Kama uko hivyo ni vema sana, tuko pamoja, MKONO KWA MKONO MPAKA PEPONI
Sikutarajia kama kwenye huu uzi nitasoma comment kama hii, afadhali kuna watu wanafikiria kutoa. Kama uko hivyo ni vema sana, tuko pamoja, MKONO KWA MKONO MPAKA PEPONI