[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi na wewe ni mapacha kwenye hili.
Huwa nashangaa watu wanasema eti “yule mtu hajiwez ila Ana watoto wengiii sababu starehe yake pekee ni ngoni”....mi kama sina senti kidogo sipati 4G kabisa so mambo ya zambi hayawezekaniki abadani.HELA BANA!!
Si unaona sasa...Serous! I thought you were joking... Lakini hata mimi hii hali hunipata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unaona sasa...
Kuna siku nimetingwa mbaya sina hata kumi ijumaa,kuzama kwenye ka “droo” kado ofisin (hua natupia vi chenji chenji) nilipata laki na zaidi..kimbia sana benki saa hiyo hiyo.deposit coins toka nje vuta noti kwenye mashine.confidence kama zote
Amen 🙏Utakuwa tajiri mkubwa sana
Thread imenona kama kitimoto roast lakini tatizo mwishoni umetumia mfano mbovu sana. Mo sio mfano mzuri wa kuigwa. At least ungemuweka mzee Bakressa.Kama kuna kitu kinahakikiwa kwa umakini na kwa kurudiwa basi ni hiki kitu pesa.... Unaweza kumpunja mtu kwenye kitu chochote lakini sio pesa... Mpunje kwenye kipimo cha nafaka, ukamzidishia kilometer za mwendo ama hesabu fulani lakini sio linapokuja suala la fedha tasilimu....
Chakushangaza ni kwamba hata kama mtu hakudai na hufanyi naye muamala wowote wa kibiashara ama malipo fulani... Yani unampa tu kama hisani au zawadi... Ni lazima ahesabu hata kisirisiri bila kujali kwamba umemwambia wazi kiasi ulichompatia.. Iwe ni ndugu yako mzazi ama hata uzao wako mwenyewe.
Kituko zaidi cha pesa ni pale mtu anapoidharau pesa ndogo na kuithamini pesa kubwa... Hizi senti... Hizi shilingi shilingi hizi.... Hizi ndio za kuwapa ombaomba hizi ndio za kuwapa watoto kanisani na kwenye nyumba nyingine za ibada... Hizi ndio za kuwekwa kwenye draw za magari... Hazistahili kukaa kwenye wallet zenye mapene na pochi nene....!!!!
Wenye akili kubwa wameliona hili... Na wanaishi maisha ya bata za kufuru kupitia visent tuu.... Hivi ni wangapi huwa wanahakiki miamala yao mitandaoni mpaka visenti? Na ukivikuta havipo je ni nani anaweza kufungua shauri la madai?
Biashara zote za miamala ya mitandaoni kama forex nknk wao wanacheza na visent tuu.... Ukivilimbikiza kwa wingi kwa njia mbali mbali na kila aina ya ujanja unajikuta unatoboa kimasihara kabisa.....
Dogo mmoja jobless huko marekani alikaa chini akaumiza kichwa... Kisha akatoka na suluhu ya kushangaza mno
Kwa kutumia utaalam wake wa computer akajiunganishia aina ya mfumo unaokata visent tu kwenye akaunti za wateja kwenye bank moja kubwa huko huko marekani... Akaifanya computer yake automatic masaa 24 ikawa vicent vinamiminika kwenye akounti yake....!!!!
Alikuja kukamatwa baada ya maafisaa wa benki kustukia akounti yake yenye zaidi ya USD million 2 lakini ikiwa muda wote inapokea visent chini ya dola moja... Walishangazwa na hili na kujiuliza ni mtu gani huyu na anafanya biashara gani hii inayomuingizia Visent tuu lakini muda wote 24/7
Baada ya uchunguzi na kuvamia makazi yake walikuta nyumba iko tupu lakini kukiwa na laptop mezani iko kazini... Yeye alikutwa Las Vegas jiji la maraha akitumbua maisha na malaya 4 wa bei ghali
Ukimuona Mo anitathamini 50 usimuone mjinga bali jicheke...
Kaka nimekuelewa sana...nitaithamini na kuiheshimu kwa moyo wangu wote hii senti mzaa sentiKama kuna kitu kinahakikiwa kwa umakini na kwa kurudiwa basi ni hiki kitu pesa.... Unaweza kumpunja mtu kwenye kitu chochote lakini sio pesa... Mpunje kwenye kipimo cha nafaka, ukamzidishia kilometer za mwendo ama hesabu fulani lakini sio linapokuja suala la fedha tasilimu....
Chakushangaza ni kwamba hata kama mtu hakudai na hufanyi naye muamala wowote wa kibiashara ama malipo fulani... Yani unampa tu kama hisani au zawadi... Ni lazima ahesabu hata kisirisiri bila kujali kwamba umemwambia wazi kiasi ulichompatia.. Iwe ni ndugu yako mzazi ama hata uzao wako mwenyewe.
Kituko zaidi cha pesa ni pale mtu anapoidharau pesa ndogo na kuithamini pesa kubwa... Hizi senti... Hizi shilingi shilingi hizi.... Hizi ndio za kuwapa ombaomba hizi ndio za kuwapa watoto kanisani na kwenye nyumba nyingine za ibada... Hizi ndio za kuwekwa kwenye draw za magari... Hazistahili kukaa kwenye wallet zenye mapene na pochi nene....!!!!
Wenye akili kubwa wameliona hili... Na wanaishi maisha ya bata za kufuru kupitia visent tuu.... Hivi ni wangapi huwa wanahakiki miamala yao mitandaoni mpaka visenti? Na ukivikuta havipo je ni nani anaweza kufungua shauri la madai?
Biashara zote za miamala ya mitandaoni kama forex nknk wao wanacheza na visent tuu.... Ukivilimbikiza kwa wingi kwa njia mbali mbali na kila aina ya ujanja unajikuta unatoboa kimasihara kabisa.....
Dogo mmoja jobless huko marekani alikaa chini akaumiza kichwa... Kisha akatoka na suluhu ya kushangaza mno
Kwa kutumia utaalam wake wa computer akajiunganishia aina ya mfumo unaokata visent tu kwenye akaunti za wateja kwenye bank moja kubwa huko huko marekani... Akaifanya computer yake automatic masaa 24 ikawa vicent vinamiminika kwenye akounti yake....!!!!
Alikuja kukamatwa baada ya maafisaa wa benki kustukia akounti yake yenye zaidi ya USD million 2 lakini ikiwa muda wote inapokea visent chini ya dola moja... Walishangazwa na hili na kujiuliza ni mtu gani huyu na anafanya biashara gani hii inayomuingizia Visent tuu lakini muda wote 24/7
Baada ya uchunguzi na kuvamia makazi yake walikuta nyumba iko tupu lakini kukiwa na laptop mezani iko kazini... Yeye alikutwa Las Vegas jiji la maraha akitumbua maisha na malaya 4 wa bei ghali
Ukimuona Mo anitathamini 50 usimuone mjinga bali jicheke...
Ulipaswa kuiga hii ilimu kumuenziKuna shangaz angu mmoja aliniomba nikamsaidie kuhamisha mizigo .....ilikua mbeya pale.....
Kuna kimkoba kimoja kilikua kizito nikamuiliza nini hiki unty......[emoji118]
Yey akasema sarafu hizo chench zikinak naweka humo...aseee tulikuja hesabu hvyo vijsent vilifika 286,000(laki mbili na themanini na sita........Sikuamin aliposema niachie 50.....elf..tuu hapo....daaaa
Now ishapita 6 yrs.....(R.I.P Unty)
Hii nakubali ni kweli huwa inatokeaAlafu tabia nyingine ya pesa ni hivi,
Mi nikiwa na hela nyingi nakosa kabisa appetite(hamu) ya kula...yaani naweza kaa kutwa nzima bila kula...ikifika muda wa kulala ndo nahisi njaa
Ivi na wewe hali hii inakutokeaga?.nilikamataga hela moja ndefu miaka flani,nilikuw napiga mvinyo ila njaa hakuna.Alafu situlii ila ilipoanza kukata kwa miezi kdhaa njaa ilianza kuuma kwa muda muafaka na akili inarudi squareAlafu tabia nyingine ya pesa ni hivi,
Mi nikiwa na hela nyingi nakosa kabisa appetite(hamu) ya kula...yaani naweza kaa kutwa nzima bila kula...ikifika muda wa kulala ndo nahisi njaa
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123]Nahisi watz ndio tupo njema zaidi kwenye hili. Na katika Tanzania nzima yenye zaidi ya tribe 125 ni wachaga tu ndio wanafamika kwa kutodharau hizi chenchi chench. Ndio mana hata wenye account za benki au hata mobile payments huwa tunaibiwa sana tu lkn we never care. Account imepungua 150/200 ah ya nini sasa [emoji16] so ndo mana kwenye real life impulse buyers ni wengi sana kwa kuwa mtu anaona ah mfkoni imebaki 500 siezi rudi nayo home bora ninunue chochote mradi tu iishe. Umetukumbusha suala muhimu sana mkuu
Sawa mkuu wa kaziOk basi huyo huyo... Japo kwangu wote hao ni walewale
Ngozi nyeusi tulio wengi tunafanana tabia ya kupenda show offMwone Mayweather na kichaa cha pesaView attachment 1168981