Hii tabia ya pesa inashangaza mno

Alichojisahau ni kutofungua vijibiashara vidogovidogo vingiii vyenye leseni ili kuwazuga maboya.
Kuna vijiswaki huwa vinajitokeza akilini vyenyewe hata vinanikera. Hivi sex ndio burudani kubwa duniani? Hivi anaepiga nyeto sianakojoa kama anaesex? Kwahiyo sex ni kukojoa ili mwili uburudike ila mwanamke sio kiburudisho?
 
Kuna kitu chakula cha macho... Hiki ndio huleta msisimko zaidi... Ndio maana puchu haliwezi kamwe kumshinda Eva
 
Kwanza inatakiwa kuacept small then iyo small inajijenga kuwa kubwa hata mtu mkubwa nae alikua na mwili wa kichanga, kama hauna kitu basi tafuta hata kile kidog kidig kuliko kukaa bila kitu
 
Alafu tabia nyingine ya pesa ni hivi,
Mi nikiwa na hela nyingi nakosa kabisa appetite(hamu) ya kula...yaani naweza kaa kutwa nzima bila kula...ikifika muda wa kulala ndo nahisi njaa
Hii nadhani ni sababu ya ile hali ya kujiamini inayozalishwa na pesa.
 
Nilichoelewa,inabidi kubuni namna ya kupata shilingi moja kwa kila binadamu kwa siku;mfano kuna watu 2,000,000 kama utaweza kukusanya shilingi moja kwa kila siku kwa watu hao,inamaana kwa siku utakuwa unaingiza mil.2
 
Just imagine....!!!! Na kwenye ishu za forex muda ndio kitu muhimu sana na timings.... Pata pesa ndogo kwa muda sahihi lakini pia ikiwezekana kila dakika
 
Just imagine....!!!! Na kwenye ishu za forex muda ndio kitu muhimu sana na timings.... Pata pesa ndogo kwa muda sahihi lakini pia ikiwezekana kila dakika
Tatizo ni namna/kuvumbua hizo project zinazoweza kuzalisha kwa wakati
 
Ndiyo maana, soda ya Mia sita na maji madogo tunauziwa buku kwenye ma bar. Hakuna wa kudai albaki.
 
Hiz hela ndogo ndogo kazi yake ni sadaka

Nikikuta dogo ana njaa nampa, nkikatisha nkakuta watu wanaomba nampa, nkikuta madogo wanalia wanapata pipi na biskuit

Hiyo ndo kazi ya hela ndogo ndogo ukisubiria upate nyingi ndo utoe

Itakuchukua mda sana
 
Sawa sawa nimekusoma.
 
Hizi pesa Ndogo Ndogo zina maana sana Na ni rahisi biashara inayohusisha vitu vidogo vidogo kutoka Na kukua Kwa haraka kwani wahitaji hua wanaona wanasave pesa zao kumbe wana spend bila wao kujua
 
Alafu tabia nyingine ya pesa ni hivi,
Mi nikiwa na hela nyingi nakosa kabisa appetite(hamu) ya kula...yaani naweza kaa kutwa nzima bila kula...ikifika muda wa kulala ndo nahisi njaa
Mi na wewe ni mapacha kwenye hili.
Huwa nashangaa watu wanasema eti “yule mtu hajiwez ila Ana watoto wengiii sababu starehe yake pekee ni ngono”....mi kama sina senti kidogo sipati 4G kabisa so mambo ya zambi hayawezekaniki abadani.HELA BANA!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…