Haimaanishi uzibebe ila usizidharau.. Thamani yake huonekana kwenye stock exchange marketsTunadharau hela ndogo kwasababu jinsi ya kuzi manage inakuwa shida. Pia hazina thamani tena, nioneshe kitu cha 50 sahivi.
Hata wewe ukiambiwa uchukue 10.000 ya noti au ikiwa na sarafu za 50 utachagua ipi? Bila shaka utachukua ya noti unless uwe unauza chenji.
Mimi huwa naziweka hizi hela za sarafu kwenye ndoo hapa nyumbani. Mfuko umejaa coins ila hazina thamani.
Ila siwezi beba coins mfukoni.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]hii kaliAlafu tabia nyingine ya pesa ni hivi,
Mi nikiwa na hela nyingi nakosa kabisa appetite(hamu) ya kula...yaani naweza kaa kutwa nzima bila kula...ikifika muda wa kulala ndo nahisi njaa
hii sijui huwa imekaaje😀😀Alafu tabia nyingine ya pesa ni hivi,
Mi nikiwa na hela nyingi nakosa kabisa appetite(hamu) ya kula...yaani naweza kaa kutwa nzima bila kula...ikifika muda wa kulala ndo nahisi njaa
Real bro...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]hii kali
Nadhani kunakuwa na hali fulani ya kiwewe cha helahii sijui huwa imekaaje😀😀
Wewe ni pacha wanguAlafu tabia nyingine ya pesa ni hivi,
Mi nikiwa na hela nyingi nakosa kabisa appetite(hamu) ya kula...yaani naweza kaa kutwa nzima bila kula...ikifika muda wa kulala ndo nahisi njaa
Mkuu noti ina maajabu yake we acha tuWewe ni pacha wangu
Maana na mimi tabia hii ninayo
si kiwewe ila ni hali ya kuridhika na kujiamini.Nadhani kunakuwa na hali fulani ya kiwewe cha hela