Krikichino
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 651
- 1,098
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia very chronic kutoka kwa mashabiki na machawa wa WCB ya kuhusianisha kila kitu na streaming numbers ili kujustify ujinga wao.
We all know kwamba Diamond huwa anaiba na kusample ngoma za watu wengine.
Sasa watu wakimchana Diamond ukweli mashabiki zake wanatoka huko watokako wanasema ooh Ila hii ngoma iko number 1 trending au wanakuletea li-screenshot la Spotify sijui cheki numbers hizo.
Same to Zuchu haya mangoma take latest sijui Chapati mara Honey, they are just not good songs. But ukiwaambia mashabiki wa WCB wanasema oooh tuko trending na screenshot wanakuwekea.
Yaani wewe unauliza ishu ya QUALITY wenyewe wanakuletea ishu ya QUANTITY.
Numbers sio kila kitu nyie WCB na ndo maana Grammy unaweza mangoma ya ajabu ajabu yanashinda tuzo. They are based on QUALITY. Vitu kama production, vocal performance, lyrical depth etc.
Na ndo maana Unakuta kwenye category moja anawekwa Angelique na Burna Noy but Angelique Kidjo yanashinda though Burna anauza zaidi yake.
Mtuache hii tabia. Inakwaza Sana