Ukweli usemwe: Harmonize na Kajala wamefanikiwa kumdhibiti Diamond na WCB kwenye kiki

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,208
42,068
Wasalaam wanajamvi.......
Ni ukweli uliowazi muziki wetu umetwaliwa sana na matukio(kiki) na wanamuziki wetu wamekuwa wakitumia kiki hizo kusaidia kusukumu shughuli zao za kimuziki na kubaki kwenye midomo na vichwa vya mashabiki wao.

Mmoja ya watu ambao wamekuwa wakitumia kiki kusukuma mziki wake na shughuli zake za sanaa ni mwanamuziki Diamond Platinumz na Diamond aliwajenga wasanii wake wote wa WCB akiwemo Harmonize kuwa kiki inaweza ikawakuza zaidi ya nyimbo au mziki mzuri hivyo wasanii hawa wanaamini sana kewenye kiki kuliko muziki mzuri au kutengeneza kazi nzuri.

Hivyo hata baada ya Harmonize kujitoa WCB amekuwa akitumia kiki na muziki kupambana nao maana wanasema kama wimbo auendi basi piga kiki na bahati mbaya hawakujua kuwa watakuja kutengana.

Moja ya tabia waliyonayo WCB na Diamond nikupenda wasikike au kufatiliwa peke yao tuu ma si wasanii wengine sasa kitendo cha Harmonize na Kajala kutrend kuwazidi na kuendelea kupewa attention kiliwauma na kinawauma sana na ndio maana walimtumia Rayvany kujaribu kuzima kiki za Harmonize na Kajala lakini wakajikuta wanamuingiza kwenye matatizo makubwa bwana mdogo....

WCB na Diamond wanaamini wao ndio wana stahili tention za watanzania na si msanii mwingine hivyo hili la Harmonize kutamba Instagram linawatesa sana na wamejipanga kufanya vimbwanga vyovyote ili warudi kwenye chati ndio maana wamemvisha mitumbi mtoto wa khadija Kopa lakini bado haijasaidia na pia sasa hivi wanamtafuti Esma Platinumz mtoto amuoe ili wapate kurudi kwenye chati za instagram.

Hakika WCB Safari hii wamepata mbabe wao wa kiki ambae walimlea wenyewewe na sasa ana wasumbua sana.

Wasalaam
 
Hvi harmonize unamtenganisha vip na WCB.....!!! Zao la WCB pure kabisa , na bado ili apate Kiki anawategemea Sana WCB, hata hvyo wamepatana hyo Kiki inaisha this week Kajala arudi Gym Na Paula arud Kwa Vannboy mtu mbaya😀
 
Duu wewe unaye mponda Diamond kwa kiki,leo una msapoti Harmonize kwa kiki.

Diamond pamoja hajafanya kiki yoyote na Corona hii kishabukiwa show kama tano,ikiwamo ya MTV MAMA AWARDS 2021,Burkina Faso,Etheopia na Ivory Cost.

Hii kiki angeifanya mwanzoni alafu angetangaza tour yake ya Konde Gang in da Club,angejaza kwenye club cha ajabu kafanya vice versa mwamko ukawa mdogo,mwisho wa siku akadai anaumwa kaenda kucheki afya lkn sisi tushajua tour jamaa kachemka.

Hii kiki kama angeitumia vizuri mwanzoni kabla ya tour yake, angetengeneza hela nzuri.
Wasalaam wanajamvi.......
Ni ukweli uliowazi muziki wetu umetwaliwa sana na matukio(kiki) na wanamuziki wetu wamekuwa wakitumia kiki hizo kusaidia kusukumu shughuli zao za kimuziki na kubaki kwenye midomo na vichwa vya mashabiki wao.

Mmoja ya watu ambao wamekuwa wakitumia kiki kusukuma mziki wake na shughuli zake za sanaa ni mwanamuziki Diamond Platinumz na Diamond aliwajenga wasanii wake wote wa WCB akiwemo Harmonize kuwa kiki inaweza ikawakuza zaidi ya nyimbo au mziki mzuri hivyo wasanii hawa wanaamini sana kewenye kiki kuliko muziki mzuri au kutengeneza kazi nzuri.

Hivyo hata baada ya Harmonize kujitoa WCB amekuwa akitumia kiki na muziki kupambana nao maana wanasema kama wimbo auendi basi piga kiki na bahati mbaya hawakujua kuwa watakuja kutengana.

Moja ya tabia waliyonayo WCB na Diamond nikupenda wasikike au kufatiliwa peke yao tuu ma si wasanii wengine sasa kitendo cha Harmonize na Kajala kutrend kuwazidi na kuendelea kupewa attention kiliwauma na kinawauma sana na ndio maana walimtumia Rayvany kujaribu kuzima kiki za Harmonize na Kajala lakini wakajikuta wanamuingiza kwenye matatizo makubwa bwana mdogo....

WCB na Diamond wanaamini wao ndio wana stahili tention za watanzania na si msanii mwingine hivyo hili la Harmonize kutamba Instagram linawatesa sana na wamejipanga kufanya vimbwanga vyovyote ili warudi kwenye chati ndio maana wamemvisha mitumbi mtoto wa khadija Kopa lakini bado haijasaidia na pia sasa hivi wanamtafuti Esma Platinumz mtoto amuoe ili wapate kurudi kwenye chati za instagram.

Hakika WCB Safari hii wamepata mbabe wao wa kiki ambae walimlea wenyewewe na sasa ana wasumbua sana.

Wasalaam
 
Mtoa mada ni hater wa WCB maana kila mada inayoitoa ni kuwaponda WCB na kuwasifu watu kama kina Nandy,Haemonize na n.k.

Unajua kuna vitu vingine hata kama huna akili siku moja moja ujitahidi ubalansi shobo, hivi kwa bongo hapa unadhani kuna Wasanii wa kuwafikia kwa trend kama WCB especially Diamond.

Kwa hiyo mtoa mada acha ujinga mda mwingine hata kama ni mapenzi kwa harmo sio hivyo sasa
 
Wasalaam wanajamvi.......
Ni ukweli uliowazi muziki wetu umetwaliwa sana na matukio(kiki) na wanamuziki wetu wamekuwa wakitumia kiki hizo kusaidia kusukumu shughuli zao za kimuziki na kubaki kwenye midomo na vichwa vya mashabiki wao.

Mmoja ya watu ambao wamekuwa wakitumia kiki kusukuma mziki wake na shughuli zake za sanaa ni mwanamuziki Diamond Platinumz na Diamond aliwajenga wasanii wake wote wa WCB akiwemo Harmonize kuwa kiki inaweza ikawakuza zaidi ya nyimbo au mziki mzuri hivyo wasanii hawa wanaamini sana kewenye kiki kuliko muziki mzuri au kutengeneza kazi nzuri.

Hivyo hata baada ya Harmonize kujitoa WCB amekuwa akitumia kiki na muziki kupambana nao maana wanasema kama wimbo auendi basi piga kiki na bahati mbaya hawakujua kuwa watakuja kutengana.

Moja ya tabia waliyonayo WCB na Diamond nikupenda wasikike au kufatiliwa peke yao tuu ma si wasanii wengine sasa kitendo cha Harmonize na Kajala kutrend kuwazidi na kuendelea kupewa attention kiliwauma na kinawauma sana na ndio maana walimtumia Rayvany kujaribu kuzima kiki za Harmonize na Kajala lakini wakajikuta wanamuingiza kwenye matatizo makubwa bwana mdogo....

WCB na Diamond wanaamini wao ndio wana stahili tention za watanzania na si msanii mwingine hivyo hili la Harmonize kutamba Instagram linawatesa sana na wamejipanga kufanya vimbwanga vyovyote ili warudi kwenye chati ndio maana wamemvisha mitumbi mtoto wa khadija Kopa lakini bado haijasaidia na pia sasa hivi wanamtafuti Esma Platinumz mtoto amuoe ili wapate kurudi kwenye chati za instagram.

Hakika WCB Safari hii wamepata mbabe wao wa kiki ambae walimlea wenyewewe na sasa ana wasumbua sana.

Wasalaam
Mshaija huna tofauti n meko kuropokaropoka tu,wahi kusaidia chama huko siha kufukuza nzige
 
Kuna jamaa mmoja alisemaga kuondoka kwa kondeboy WCB kutawafanya wote (Diamond na harmonize) wa-LOSE kimuziki and actually what I am witnessing right now is REAL.

Hakuna tena ubunifu katika tungo zao za muziki,,wamejikita zaidi kwenye kutupiana vijembe baridi tu visivyo na impact yeyote kwenye "take off" ya muziki wao, KIKI zao ndo zinapata airtime nyingi kuliko nyimbo zao.

Nayakumbuka maneno ya yule "muhenga" kwenye ule uzi wa harmo kujitoa WCB mpaka kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninawapenda Kajala na Harmonize, Kajala anavaa nguo zinazoendana na couple yao, si ndefu wala si fupi.

Harmonise ni kijana mwenye akili na kipaji kikubwa. Ninakushauri ujifunze Kiingereza, unapenda kukiongea lakini unavunja mpaka unatuumiza masikio. Ukijitahidi kukielewa swaga zako zitakua si za kitoto.
 
Sitaki kuamini Tanzania kama taifa ndio tuliko sasa. Mtu mzima mwanaume kamili unashabikia upuuzi wa kiki? Tunatengeneza muziki wa kipuuzi halafu tunashabikia? Tunaelekea wapi? Hivi kesho tutawajibu nn watoto watu nyimbo tunazoshabikia sasa? MATUSI MATUPU.
Wapi muziki ulipokuwa muziki wenye elimu n burudani toshelezi enzi ya Emmanuel Nkulila, mtoto wa Dandu nk sitaki kuwataja wa zamani makundi kama orchestra safari sound, washirika tanzania stars, vijana jazz, tancut almasi orchestra nk

Ni dhahiri kama taifa tunakwama sehemu
 
Wasalaam wanajamvi.......
Ni ukweli uliowazi muziki wetu umetwaliwa sana na matukio(kiki) na wanamuziki wetu wamekuwa wakitumia kiki hizo kusaidia kusukumu shughuli zao za kimuziki na kubaki kwenye midomo na vichwa vya mashabiki wao.

Mmoja ya watu ambao wamekuwa wakitumia kiki kusukuma mziki wake na shughuli zake za sanaa ni mwanamuziki Diamond Platinumz na Diamond aliwajenga wasanii wake wote wa WCB akiwemo Harmonize kuwa kiki inaweza ikawakuza zaidi ya nyimbo au mziki mzuri hivyo wasanii hawa wanaamini sana kewenye kiki kuliko muziki mzuri au kutengeneza kazi nzuri.

Hivyo hata baada ya Harmonize kujitoa WCB amekuwa akitumia kiki na muziki kupambana nao maana wanasema kama wimbo auendi basi piga kiki na bahati mbaya hawakujua kuwa watakuja kutengana.

Moja ya tabia waliyonayo WCB na Diamond nikupenda wasikike au kufatiliwa peke yao tuu ma si wasanii wengine sasa kitendo cha Harmonize na Kajala kutrend kuwazidi na kuendelea kupewa attention kiliwauma na kinawauma sana na ndio maana walimtumia Rayvany kujaribu kuzima kiki za Harmonize na Kajala lakini wakajikuta wanamuingiza kwenye matatizo makubwa bwana mdogo....

WCB na Diamond wanaamini wao ndio wana stahili tention za watanzania na si msanii mwingine hivyo hili la Harmonize kutamba Instagram linawatesa sana na wamejipanga kufanya vimbwanga vyovyote ili warudi kwenye chati ndio maana wamemvisha mitumbi mtoto wa khadija Kopa lakini bado haijasaidia na pia sasa hivi wanamtafuti Esma Platinumz mtoto amuoe ili wapate kurudi kwenye chati za instagram.

Hakika WCB Safari hii wamepata mbabe wao wa kiki ambae walimlea wenyewewe na sasa ana wasumbua sana.

Wasalaam
Watakuandama mdau pamoja na kwamba hufungamani na upande wowote....
 
Nakumbuka mstari mmoja Mondi aliwahi kurap akisema "UKINICHUKIA SIKOSI HELA IVYO KWANGU FRESHI"

Mfano mzuri tu, unaweza kuta mtoa mada hajawahi kulipa kiingilio ata maramoja kucheki show za Diamond lakini mwisho wa siku mwenzako Chibu bado kafanikiwa na ana mihela kibao

Kuna watu unakuta wanamchukia mtu kiasi kwamba wanahisi chuki zao zitamkwamisha mlengwa...Pole Brah!
 
Back
Top Bottom