Hii tabia ya Kenyan media kutunga uongo kuhusu Tanzania ikiachwa, kuna siku watatutia vidole machoni!

Lipi la uongo hapo nani hajui Tanzania ni wanafiki toka mtu hadi serekali.
Mbona husemi wanavyoandikaga ukweli kwamba Tanzania ni mazuzu
Hiki ndo wakenya wanapenda kusikia, mnadhauriwa sasa na nyie mmekubali kwamba ni mazuzu.

Kasumba moja mbaya kwa watanzania Ni kuamini kila Cha Kenya au nje ni Bora kuliko Chao, hata kwenye huu uzi utaona watu Kama wewe ambao si wakenya ila ndo wakwanza kusifia Kenya na kupondea nchi yenu. Kenya hawana budi kuwatukana maana mmekubali kutukanwa

Sijapata ona watu wenye inferiority complex Kama watanzania, huwezi kuta mkenya au mnigeria anaikandia nchi yake mbele ya nchi nyingine.
 
Wakenya ni waongo sana ,nahisi katika nchi za EAC raia wakenya wanaongoza kwa uongo, nawahahurumia sana ndugu zetu waliopakana nao mipakani, 70% ya habari za Tanzania Kenya huwa ni za kupotosha na jamaa huwa wana wivu sana na Tanzania , in general wao hushidana na Tanzania ,furaha ya mkenya yeyote ni kuona Tanzania iko chini, hapo mkenya anafurahi mpaka jino la mwisho. Hata hizo migogoro na kusema kuwa Kenya na Tanzania hazina uhusiano mzuri ni media zote za Kenya ndo zina report, lakini kwa uhalisia hakuna migogoro kati ya nchi hizi mbili, hata ukifika Kenya wengi wao wakijua mtanzania utasikia wanasema watanzania hamtupendi wakenya hadi unashangaa, ndo kwanza unasikia kitu kile, Tanzania ni taifa ambalo raia wa nchi mbalimbali wanakuwa treated equally na hatuna muda wa kufuatilia huyu wala yule.

Kuhusu uzalendo ni kweli, uzalendo wetu uko chini , uzalendo umekuwa chini kwa sababu tumesubiri miaka mingi bila kuona cha maana kutoka kwa watawala, wamekuwa na wazee wa ahadi nyingi zisizo na mwisho. Tuko tayari kuwa wazalendo lakini fanyeni mambo ya muhimu kwa taifa letu ili nasi tuwe wazalendo, ingawaje binafsi hata kama ningekuwa aljezeera,CNN, BBC na kwenye media za kimataifa siwezi shiriki kuandika kibaya kuhusu nchi yangu, ningekuwa napotezea tu huku naangalia mambo mengine, tuweni wazalendo na tuongee na kuwarekebisha watu kwa kila mtu mahali ulipo ukisikia baya kuhusu nchi yako.
 
Wanabodi,

Sio mara moja au mara mbili, kumekuwa na negative publicity kuhusu Tanzania kwenye media za kwao, mara wamtukane rais wetu, mara watutukane Watanzania, etc, na sisi Watanzania kwa vile ni wapenda Amani, siku zote tunajinyamazia tuu bila kuwajibu, sasa imefikia hatua media za Kenya, zikisoma habari yoyote ya maendeleo kwenye reginal intergration kutokea Tanzania, wataipindua na kuireport negative.

Mfano hai ni wiki iliyopita nimehudhuria mkutano wa UNCTAD uliofanyika Tanzania, ni media za Tanzania tuu ndio zilialikwa.

Magazeti ya Daily News na Citizen, yakaripoti mkutano huo very positively
Story ya Daily News ni hii DRC, Uganda engaged on road user fee
na Story ya the Citizen ni hii New railway projected to reduce transport costs

Media mbili za Kenya zikai pick that story from the Citizen, zikaipika, kuigeuza na kuitungia uongo kwa kuongeza majungu ambayo hayakuzungumzwa popote!.
Angalia hapa kilichoripotiwa Tanzania Locks Out Kenya in New Border Deal
na pia angalia hapa kilichoripotiwa Tanzania omits Kenya from preferential transport deal

Kwa mimi nilikuwepo, hicho kilichoripotiwa na media za Kenya ni uzushi na uongo mtupu!.

Kwa nini Tanzania tunapozushiwa vitu vya uongo kwa lengo la kutuharibia tuu, huwa tunanyamaza tuu bila kujibu?. Hawa Wakenya, tukiendelea kuwanyamazia tuu, utafikia wakati, watatutia vidole machoni!.

Paskali.
Rejea za baadhi ya mambo tuliozushiwa tukanyamaza.
‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"
Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi!
Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!
Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?
Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe!

Kweli wameipoti negatively. Lakini nadhani wameweka Heading itakayowavutia wanunuzi.
 
Sasa wamechoka kusifiwa ndani wanataka wasifiwe na nje. Serikali ya saiv ipo km mwanamke inataka tu sifa ooh baby we mzur sana, yan umependeza leo. Sasa saiv sifa zinataka kuvuka border. Kwan wasipokusifia unabadilika nin au unapugukiwa na nin. Fanyeni kazi acheni kutafuta sifa za kulazimisha. Wananchi wakipata maendeleo, uchumi ukiboreka ukitawala kwa kufata katiba na sheria sifa zitakuja zenyewe. Nyie mmeharib mahusiano mazur yaliokuepo afu bado unataka wakusifie, its insane. Unaminya uhuru wakujieleza, juhudi zako umeelekeza kwenye kuua upinzan halali kikatiba, hutak kukosolewa afu unataka watu wasikuite dikteta.
Dawa ni kufanya kazi kuacha majungu na fitina
 
Lipi la uongo hapo nani hajui Tanzania ni wanafiki toka mtu hadi serekali.
Mbona husemi wanavyoandikaga ukweli kwamba Tanzania ni mazuzu
Wewe ndugu kama Tanzania ni mazuzu na Kenya ni majiniasi mbona bomba la mafuta limehamishwa mchana kweupe ili hali wao wamefumba macho? Jamaa wanajiona ni inteligent lakini ukweli ni zero
 
Kama ni kuandika uongo/ukweli hata sisi Watanzania tunaandika hivyo. Reference: Gazeti letu pendwa la Tanzanite
 
Wakenya ni waongo sana ,nahisi katika nchi za EAC raia wakenya wanaongoza kwa uongo, nawahahurumia sana ndugu zetu waliopakana nao mipakani, 70% ya habari za Tanzania Kenya huwa ni za kupotosha na jamaa huwa wana wivu sana na Tanzania , in general wao hushidana na Tanzania ,furaha ya mkenya yeyote ni kuona Tanzania iko chini, hapo mkenya anafurahi mpaka jino la mwisho. Hata hizo migogoro na kusema kuwa Kenya na Tanzania hazina uhusiano mzuri ni media zote za Kenya ndo zina report, lakini kwa uhalisia hakuna migogoro kati ya nchi hizi mbili, hata ukifika Kenya wengi wao wakijua mtanzania utasikia wanasema watanzania hamtupendi wakenya hadi unashangaa, ndo kwanza unasikia kitu kile, Tanzania ni taifa ambalo raia wa nchi mbalimbali wanakuwa treated equally na hatuna muda wa kufuatilia huyu wala yule.

Kuhusu uzalendo ni kweli, uzalendo wetu uko chini , uzalendo umekuwa chini kwa sababu tumesubiri miaka mingi bila kuona cha maana kutoka kwa watawala, wamekuwa na wazee wa ahadi nyingi zisizo na mwisho. Tuko tayari kuwa wazalendo lakini fanyeni mambo ya muhimu kwa taifa letu ili nasi tuwe wazalendo, ingawaje binafsi hata kama ningekuwa aljezeera,CNN, BBC na kwenye media za kimataifa siwezi shiriki kuandika kibaya kuhusu nchi yangu, ningekuwa napotezea tu huku naangalia mambo mengine, tuweni wazalendo na tuongee na kuwarekebisha watu kwa kila mtu mahali ulipo ukisikia baya kuhusu nchi yako.
Hao tumepakana nao (kilimanjaro na arusha) hivyo mziki wetu wanaujua watawachezea nyinyi nyinyi wa huko Dar!!
 
Wanabodi,

Sio mara moja au mara mbili, kumekuwa na negative publicity kuhusu Tanzania kwenye media za kwao, mara wamtukane rais wetu, mara watutukane Watanzania, etc, na sisi Watanzania kwa vile ni wapenda Amani, siku zote tunajinyamazia tuu bila kuwajibu, sasa imefikia hatua media za Kenya, zikisoma habari yoyote ya maendeleo kwenye reginal intergration kutokea Tanzania, wataipindua na kuireport negative.

Mfano hai ni wiki iliyopita nimehudhuria mkutano wa UNCTAD uliofanyika Tanzania, ni media za Tanzania tuu ndio zilialikwa.

Magazeti ya Daily News na Citizen, yakaripoti mkutano huo very positively
Story ya Daily News ni hii DRC, Uganda engaged on road user fee
na Story ya the Citizen ni hii New railway projected to reduce transport costs

Media mbili za Kenya zikai pick that story from the Citizen, zikaipika, kuigeuza na kuitungia uongo kwa kuongeza majungu ambayo hayakuzungumzwa popote!.
Angalia hapa kilichoripotiwa Tanzania Locks Out Kenya in New Border Deal
na pia angalia hapa kilichoripotiwa Tanzania omits Kenya from preferential transport deal

Kwa mimi nilikuwepo, hicho kilichoripotiwa na media za Kenya ni uzushi na uongo mtupu!.

Kwa nini Tanzania tunapozushiwa vitu vya uongo kwa lengo la kutuharibia tuu, huwa tunanyamaza tuu bila kujibu?. Hawa Wakenya, tukiendelea kuwanyamazia tuu, utafikia wakati, watatutia vidole machoni!.

Paskali.
Rejea za baadhi ya mambo tuliozushiwa tukanyamaza.
‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"
Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi!
Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!
Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?
Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe!
Vifaranga na ng'ombe havitatuacha salama
 
Wakenya ni waongo sana ,nahisi katika nchi za EAC raia wakenya wanaongoza kwa uongo, nawahahurumia sana ndugu zetu waliopakana nao mipakani, 70% ya habari za Tanzania Kenya huwa ni za kupotosha na jamaa huwa wana wivu sana na Tanzania , in general wao hushidana na Tanzania ,furaha ya mkenya yeyote ni kuona Tanzania iko chini, hapo mkenya anafurahi mpaka jino la mwisho. Hata hizo migogoro na kusema kuwa Kenya na Tanzania hazina uhusiano mzuri ni media zote za Kenya ndo zina report, lakini kwa uhalisia hakuna migogoro kati ya nchi hizi mbili, hata ukifika Kenya wengi wao wakijua mtanzania utasikia wanasema watanzania hamtupendi wakenya hadi unashangaa, ndo kwanza unasikia kitu kile, Tanzania ni taifa ambalo raia wa nchi mbalimbali wanakuwa treated equally na hatuna muda wa kufuatilia huyu wala yule.

Kuhusu uzalendo ni kweli, uzalendo wetu uko chini , uzalendo umekuwa chini kwa sababu tumesubiri miaka mingi bila kuona cha maana kutoka kwa watawala, wamekuwa na wazee wa ahadi nyingi zisizo na mwisho. Tuko tayari kuwa wazalendo lakini fanyeni mambo ya muhimu kwa taifa letu ili nasi tuwe wazalendo, ingawaje binafsi hata kama ningekuwa aljezeera,CNN, BBC na kwenye media za kimataifa siwezi shiriki kuandika kibaya kuhusu nchi yangu, ningekuwa napotezea tu huku naangalia mambo mengine, tuweni wazalendo na tuongee na kuwarekebisha watu kwa kila mtu mahali ulipo ukisikia baya kuhusu nchi yako.
Ungekuwa aljazeera au BBC ungekaa kimya tu hata kama raia wanateswa na kuuawa .. ! Ww mnafiki kweli ...! Hivi unajua maana ya uzalendo....?
 
Mbona sijaona kilichopikwa hapo, wamechagua namna ya kuiripoti tu, ili iwe relevant kwa nchi yao

Mfano mpo kwenye patnership kampuni tatu, A, B na C...mbili kati ya hizo, sema A na B mkakubalina kuanzisha mradi pamoja, mkamuacha C

Sasa wawakilishi wa A na B watairipoti kwa wafanyakazi na wadau wao kuwa kuwa ''kwa pamoja, Kampuni A na B tumekubaliana kushirikiana kwenye miradi kadhaa''

Sasa C kuripoti kwa wafanyakazi na wadau wake atasema, ''Kampuni A na B wameamua kututenga kwenye mradi wao'' na bado wakawa sahihi.. kwa sababu mlikuwa patners mwanzo
Hao watu kwa kujitoa akili hawawezi kukuelewa, amesahau ile coalition of willing sisi tulisemaje
 
waaandishi wa Kenya ni wanafiki sana. Mbona walishawahi kuripoti kuwa wananchi wao walitamani Magufuli awe Rais wao.
Hata timu ya taifa ya Brazil ilipokuja nchini Juni 2010 walisema tumepoteza hela nyingi kuileta timu hiyo hapa nchini. Nisiseme juu ya Obama alipofika hapa kwanza kabla ya kule. Pia walinon'gona sana. Mayala ni mzalendo.
 
Back
Top Bottom