• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Hii tabia vipi wakuu wangu.....

Qualifier

Qualifier

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
1,252
Points
1,225
Qualifier

Qualifier

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
1,252 1,225
Watu kama hawa ni malimbukeni ni upuani mtu umekaribishwa halafu unakuja na kundi la watu mimi iliwahi nitokea gf wangu aliniomba nimsaidie hea kwa ajili ya kulipia kodi ya nyumba nikamwita aje achukuea hela pale Marangu Park yeye akaja na marafiki zake watatu matokeo yake nikatumia fedha nilizo mtengea zikabaki kido na ndizo nilizo mpa kwa kumwambia ukweli kuwa kiasi kingine nimenunulia vinywaji vya rafiki zake na sinta kuwa na hela tena mpaka mwisho wa mwezi
 
strong ruler

strong ruler

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Messages
4,799
Points
2,000
strong ruler

strong ruler

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2013
4,799 2,000
Hahaha sisi wanaume bana itakuwa wewe wenyewe ndie ulianza kuleta mapozi ya kibwenyenye, Mabinti wakasema ngoja...
 
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
904
Points
250
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
904 250
usikute pesa zenyewe ulizolipia bill ulikopa kwa ajil ya ishu nyengine kabisa..au za mchango wa watu..mtazamo tuu
 
Senior Boss

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Messages
3,310
Points
2,000
Senior Boss

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2011
3,310 2,000
Umenikumbusha kuna jamaa yangu mmoja hivi alibadilishana na dem mmoja hivi wa chuo kimoja hapa jijini,wakakubaliana wakutane sehemu moja hivi,yule dem alikuja na wenzake 4 na jumla wakawa watano

Jamaa aliagiza bia yake na kuanza kunywa na wale madada nao waliagiza na kuanza kunywa vinywaji vya bei kubwa sana na kuagiza na kuku mzima mzima kila mmoja,jamaa alikuwa anawaangalia tu

Walipoletewa jamaa alimalizia bia yake na kwenda kulipia kinywaji chake na kile cha muhusika lakini hakulipia ile kuku aliyokula mhusika na baada ya hapo alitoka kama anakwenda chooni na kuwaacha pale pale wakiendelea kula na kunywa

Baada kama ya nusu saa mhusika alikuwa anampigia simu jamaa na hakuwa anapokea na kama akipokea alikuwa haongei kabisa,kesho yake alimpigia simu tena na jamaa alipokea na dem alianza kutoa maneno ya kashfa a jamaa alimuuliza kama amemaliza na kukata simu

Hao madema dawa yao ni hiyo tu,kama hawali hizo kuku huko wanakoishi wasitugeuze sisi kama ndio wa kutoa tu bila hesabu

Nyambaf zao!!!!!!!!!!
Safi sanaaaa !!!! Sipati picha huo mtiti walio letewa na bar maid. hahaha
 
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,344
Points
2,000
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,344 2,000
Tatizo na nyie wengine mnapenda kujifanya high class hahahahaaaa pole jamani..!
 
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
904
Points
250
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
904 250
REJEA WIMBO WA KARA JEREMAYA.karibu dar..nanukuu"ukimuita demu wako wanakuja kruu."
 
Daud omar

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Messages
2,461
Points
1,225
Daud omar

Daud omar

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2011
2,461 1,225
Hivi nikikuita mjinga ntakua nimekosea?? yani watu wanakukomoa maksudi wew big boss umekaa unashindia maji dah! watoto wa mujini hawana hila, next time kimbia usisubiri kuonekana shujaa..
 
Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Messages
28,263
Points
2,000
Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2011
28,263 2,000
Tatizo na nyie wengine mnapenda kujifanya high class hahahahaaaa pole jamani..!
Kumuita mtu ili mfanye maongezi ni kujifanya high class?

Au ndio mnatumia fursa hizo kubugia vile ambavyo mnaviona kwenye picha za ukutani na vingine mnavisikia tu kwenye matangazo na redioni?
 
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
6,714
Points
1,225
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
6,714 1,225
Astaghfir-llah!

pole sana...next time hiyo ofa muite wakati wewe upo room(faragha) tayari ili akimaliza huyo kuku mzima na redbull zake na madikodiko yote atakayoagiza akidhani anakukomoa, basi nawe unaondoa hasira zako kwa kumgegeda.....hahahahahaha just joking jamani........!!!!!!!! lol!!!
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,649
Points
2,000
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,649 2,000
Briefl alchokifanya huyo binti ni ushamba na ulimbukeni,sijui vitu kama hivyo yeye mwenyewe anaweza kujifuja namna hiyo,huyo ni wa kumfanyia timing unamgegeda halafu siku ya pili hata simu yake hupaswi kupokea!!
Hao ndo mabinti ambao wanalalamika kuwa hawaolewagi,yaani heat and run
 
M

Mzee Uchwara

Senior Member
Joined
Oct 28, 2013
Messages
119
Points
0
M

Mzee Uchwara

Senior Member
Joined Oct 28, 2013
119 0
Wenzako tunatokaga ndoki tukiona hali kama hiyo ili ajifunze siku nyingine asirudie. Unawaachia manyoya ili walipe wajifunze.
 
J

JtheTATA

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2013
Messages
333
Points
170
J

JtheTATA

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2013
333 170
nami ningeita washkaji zangu wa3 tuwe pea then atakae mkataa mshkaji wake niliyemletea atajilipia bill mwenyewe alaaaa.
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,341
Points
2,000
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,341 2,000
Kwani walikulazimisha kulipa bili yao?
Ingekuwa ni mimi ningelipa bili yangu tu, halafu nasepa..
 
Senior Boss

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Messages
3,310
Points
2,000
Senior Boss

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2011
3,310 2,000
Hivi nikikuita mjinga ntakua nimekosea?? yani watu wanakukomoa maksudi wew big boss umekaa unashindia maji dah! watoto wa mujini hawana hila, next time kimbia usisubiri kuonekana shujaa..
Dogo anaingilia fani za watu. Msamehe harudii tena. Tehe !!
 
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
6,857
Points
1,250
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
6,857 1,250
I wish nikutane na hyo sampuli. Hakyanani watafurah.
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
35,389
Points
2,000
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
35,389 2,000
duh... mji kweli unawenyewe...
 

Forum statistics

Threads 1,403,606
Members 531,286
Posts 34,428,754
Top