Hii tabia vipi wakuu wangu.....

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,731
2,000
Jana katika pita pita yangu mjini nikabahatika kukutana na binti mmoja, tukabadilishana namba za simu, time za jioni nikaamua kumrukia hewani tukutane town tufahamiane zaidi, akaibuka na rafiki zake wawili, ikawa timu ya watu watatu, tumekaa kunywa mabinti wale wakaanza kuagiza vinywaji vya bei kubwa kubwa, mwenyewe nikaagiza maji tu, wanywaji mnajua kuna kakinywaji nikawa nasikia nipimie nzima, hapo Tsh 12,000 cash, mwingine nipatie henken. Kana kwamba hiyo haitoshi ulipofika wakati wa msosi, mwanamke anaagiza mnavu kuku mzima peke yake, huku kichwa kinaniuma nawaza kumbe wanawake wa mujini ndo wana matumbo makubwa hivi, kumbe ndiyo maana wanawake wengi sasa hivi wana vitambi. Pigo la mwisho ni wakati wa kuondoka, wanaagiza vinywaji na chakula cha take away, kidogo niumbuke ila uzuri bar ile wanapokea hela kwa tigo pesa, nimeondoka pale sina hamu, nimeinamisha kichwa na wala sina hamu tena na mwanamke yule. Hii tabia unapopewa offer ndo unaagiza kinywaji cha bei mbaya, mtu kila siku anakunywa fanta, siku hiyo anataka redbull, vipi wakuu wangu?
 
jamiif

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
2,414
1,195
pole sana...next time hiyo ofa muite wakati wewe upo room(faragha) tayari ili akimaliza huyo kuku mzima na redbull zake na madikodiko yote atakayoagiza akidhani anakukomoa, basi nawe unaondoa hasira zako kwa kumgegeda.....hahahahahaha just joking jamani........!!!!!!!! lol!!!
 
Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,308

We ungekula barafu mwisho wa siku kila mtu anapewa bill yake walipe wenyewe.....wewe unge gharamia bill ya huyo dada ulie kua na date nae baaas. Tatzo watu wengi wanaona soo kuwachana hawa wanawake live. Ila all in all kuna wanawake wana tabia za uchwara sana, sijui ni malezi au kitu gan. Unakuta jinsi alivyo vaa na appearence yake ukilinganisha na tabia na mambo yake haviendani kabisa. Na kwa mwendo huo watangoja sana kuolewa....kuna mmoja alikua kila akiniona ananiomba hela au anataka nimnunulie vitu ukicheck sina hata mazoea nae wala sina hata mpango wa kua nae yet analeta tabia zake za chooni...jibu nililo mpa nahisi kidogo angeenda kujinyonga siku hiyo na nili mchana in public. Aliona nimem dharau kwa kimo cha juu sana. Since then hana hata hamu ya kuongea na mm.
Mtu umekua invited ww, inakuaje unaenda kuleta kundi la watu ?? Ndio yale mambo ya card moja ya harusi wanaenda nyumba nzima. Mwisho wa siku ni aibu kwenye entrance ya ukumbi.
 
JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,731
2,000
pole sana...next time hiyo ofa muite wakati wewe upo room(faragha) tayari ili akimaliza huyo kuku mzima na redbull zake na madikodiko yote atakayoagiza akidhani anakukomoa, basi nawe unaondoa hasira zako kwa kumgegeda.....hahahahahaha just joking jamani........!!!!!!!! lol!!!

wanawake si mna ujanja wa kusingizia tujuane kwanza, sasa huko room ataingiaje kabla hamjajuana, labda unamuitia gheto.
 
Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
3,271
2,000
walikuja kuku thaminisha...next time atakuja mwenyewe endapo wali alokuwa nao wamekufagilia ila ka wamekuponda utaambulia manyoya
 
nosspass

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
5,324
2,000
.....ungechomoka kimya kimya bana,,,akikupigia unampa live.....pesa ngumu kaka....ila kama ulishaliwa kazana na wewe umle,,, then mwaga kule....
 
Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,308
2,000
walikuja kuku thaminisha...next time atakuja mwenyewe endapo wali alokuwa nao wamekufagilia ila ka wamekuponda utaambulia manyoya

Kwa hiyo we una date / kuolewa/kuoa mtu mpaka rafiki zako wamfagilie ?? Pole sana.
 
Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,308
2,000
.....ungechomoka kimya kimya bana,,,akikupigia unampa live.....pesa ngumu kaka....ila kama ulishaliwa kazana na wewe umle,,, then mwaga kule....

I wish ingekua ni mimi siku hiyo.... mbona wangekoma !!! Wangevuliwa viatu na bar maid waje kuvi komboa wakilipa bill yao. Mjini hapa.
 
JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,731
2,000
We ungekula barafu mwisho wa siku kila mtu anapewa bill yake walipe wenyewe.....wewe unge gharamia bill ya huyo dada ulie kua na date nae baaas. Tatzo watu wengi wanaona soo kuwachana hawa wanawake live. Ila all in all kuna wanawake wana tabia za uchwara sana, sijui ni malezi au kitu gan. Unakuta jinsi alivyo vaa na appearence yake ukilinganisha na tabia na mambo yake haviendani kabisa. Na kwa mwendo huo watangoja sana kuolewa....kuna mmoja alikua kila akiniona ananiomba hela au anataka nimnunulie vitu ukicheck sina hata mazoea nae wala sina hata mpango wa kua nae yet analeta tabia zake za chooni...jibu nililo mpa nahisi kidogo angeenda kujinyonga siku hiyo na nili mchana in public. Aliona nimem dharau kwa kimo cha juu sana. Since then hana hata hamu ya kuongea na mm.
Mtu umekua invited ww, inakuaje unaenda kuleta kundi la watu ?? Ndio maana kila siku watu wanapigiwa kelele umuhimu wa shule. Ndio yale mambo ya card moja ya harusi wanaenda nyumba nzima. Mwisho wa siku ni aibu kwenye entrance ya ukumbi.

sidhani kama ningeeleweka na uongozi wa bar maana mimi ndo niliwapeleka pale, nimejifunza.
 
gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,262
2,000
wenzio huwaga wanaawaacha kimya kimya
ukiona mwarabu katwishwa mzigo taratibuu unanyanyuka as if unaongea na simu ndo unasepa kimojaa ivo.......
sasa wao wabananishwe hadi visimu na lesi wigi zao
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,265
2,000
Jana katika pita pita yangu mjini nikabahatika kukutana na binti mmoja, tukabadilishana namba za simu, time za jioni nikaamua kumrukia hewani tukutane town tufahamiane zaidi, akaibuka na rafiki zake wawili, ikawa timu ya watu watatu, tumekaa kunywa mabinti wale wakaanza kuagiza vinywaji vya bei kubwa kubwa, mwenyewe nikaagiza maji tu, wanywaji mnajua kuna kakinywaji nikawa nasikia nipimie nzima, hapo Tsh 12,000 cash, mwingine nipatie henken. Kana kwamba hiyo haitoshi ulipofika wakati wa msosi, mwanamke anaagiza mnavu kuku mzima peke yake, huku kichwa kinaniuma nawaza kumbe wanawake wa mujini ndo wana matumbo makubwa hivi, kumbe ndiyo maana wanawake wengi sasa hivi wana vitambi. Pigo la mwisho ni wakati wa kuondoka, wanaagiza vinywaji na chakula cha take away, kidogo niumbuke ila uzuri bar ile wanapokea hela kwa tigo pesa, nimeondoka pale sina hamu, nimeinamisha kichwa na wala sina hamu tena na mwanamke yule. Hii tabia unapopewa offer ndo unaagiza kinywaji cha bei mbaya, mtu kila siku anakunywa fanta, siku hiyo anataka redbull, vipi wakuu wangu?

Umenikumbusha kuna jamaa yangu mmoja hivi alibadilishana na dem mmoja hivi wa chuo kimoja hapa jijini,wakakubaliana wakutane sehemu moja hivi,yule dem alikuja na wenzake 4 na jumla wakawa watano

Jamaa aliagiza bia yake na kuanza kunywa na wale madada nao waliagiza na kuanza kunywa vinywaji vya bei kubwa sana na kuagiza na kuku mzima mzima kila mmoja,jamaa alikuwa anawaangalia tu

Walipoletewa jamaa alimalizia bia yake na kwenda kulipia kinywaji chake na kile cha muhusika lakini hakulipia ile kuku aliyokula mhusika na baada ya hapo alitoka kama anakwenda chooni na kuwaacha pale pale wakiendelea kula na kunywa

Baada kama ya nusu saa mhusika alikuwa anampigia simu jamaa na hakuwa anapokea na kama akipokea alikuwa haongei kabisa,kesho yake alimpigia simu tena na jamaa alipokea na dem alianza kutoa maneno ya kashfa a jamaa alimuuliza kama amemaliza na kukata simu

Hao madema dawa yao ni hiyo tu,kama hawali hizo kuku huko wanakoishi wasitugeuze sisi kama ndio wa kutoa tu bila hesabu

Nyambaf zao!!!!!!!!!!
 
JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,731
2,000
wenzio huwaga wanaawaacha kimya kimya
ukiona mwarabu katwishwa mzigo taratibuu unanyanyuka as if unaongea na simu ndo unasepa kimojaa ivo.......
sasa wao wabananishwe hadi visimu na lesi wigi zao

wanawake wenzako hao lakini.
 
byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
910
500
pole best hao walikuja kusafisha nyota...wamekaa miaka 5 bila kutolewa out unafikili wangekuwaje...au na wewe uliaza na swaga za mtoto wa mbunge wakati unaomba namba ili mtoto asikuchomolee..siku izi ujanja kuwai sio kuwahiwa .pole wamekuwai ..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom