Hii tabia sio kabisa wadau

alikuona wewe ni le profeseri ndio maana .........

Grand PA
 
Hahahaaaaaaa!! Pole proffessor but ninamashaka na wewe, kama ulijitutumua kama kabila fulani ivi ndo maana aliarika team!!
Mimi ninamashaka na uprof. wa huyu jamaa sijui alipewa chini ya bahari?
 
yaani natamani mwanamke anifanyie hivyo.....mmoja alijaribu..
naona watu kibao wanaongozana ..nikasimama nikawauliza mnaenda wapi?
walipokaa tu ...nikaaanza ongea na simu hadi nje..nduki.....ha haaaa...

now natamani mno mwingine anafanyie hivyo......nina dawa nimeitayarisha wataenda simulia...
 

Proffesor anasema .... Mkuuuuu hiyo confidence unakuwa umeipata wap. .?? Tena kwa mtu unaye mfukuzia. . Wakat mida hiyo n ya kuchukua points tatu muhimu. .?
 
Walivyotoka hapo kweny story zao hili halikukosa "Leo tumemla huyu mp*mbavu" na akijishauwa kukuita tena kama kawaida wew tuvutie waya
 
Proffesor anasema. .. usalama upi mkuuuuu. . ????

Anaogopa utamnyonya damu..(joke), anyway kama bidada hakufahamu vizuri ni ngumu kukuamini especially kama mazingira ya kukutana yalikuwa ya kawaida (yaani tunaokutana nao mtaani ambao unaanza kujitambulisha jina lako, kabila, unafanya kazi wapi na unakaa wapi) lakini wale ambao unakuta tumeshaonana nao mara kwa mara ila hatujawa nao karibu hao mara nyingi akija anakuja bila shida na hata nyumbani anaweza akaja mkapiga story na akasepa kwa kuwa already anakufahamu angalau by 50% hivyo pale kinachofanyika ni kujenga ukaribu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…