Hii tabia na utaratibu Chadema uacheni km hamkajipanga

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Imekuwa ni desturi sasa ya kila mara ama viongozi wakuu wa chama au taasisi zilizo chini yake kuitisha maandamano na hayafanyiki.Hakika nawaambia jambo hili linawaadhili na kuwafanya watu waamini ninyi ni MAJEMEDALI waoga na msio na msimamo na mambo yenu!

Nashauli,km hamna uwezo wa kupambana na changamoto za dola,bora mkae kimya kuliko kujianika na uwoga wenu!

Fanyeni tu kile kwenu kinawezekana.
 
voicematters...inatosha at the moment to show the will.....that will send a certain message and always propagates skme impacts to the general populations.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom