Mkuu
Its crazy anae dhalilika ni mimi ila wewe ndio matako yanakuuma,kwanini?
Credits zangu zitashuka,nilikua nazo to begin with?
Sipo JF na credits zozote,kila mtu afate maisha yake,kama wewe una credit ndani ya JF ni wewe,and worry for yourself sio mwingine!
Natetea maana ni sahihi kabisa mlevi kumuomba mlevi mwenzie pombe!
Taifa linayumba sababu ya Mawe,yeye ndio ana madaraka yote na maamuzi yanayo athiri watu milioni 60 kwa wakati mmoja,mimi msukuma mkokoteni nina maamuzi gani ya kuathiri watu wangapi nchi hii?
Kila kitu ni Magufuli,anapofeli anafelisha watu milioni 60,ndio maana tunamlaumu kwa kila kitu,na rightfully so!