Hii suti ina nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii suti ina nini?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, May 23, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nimejaribu kuangalia hizi pics nikashindwa kutambua hii suti aliyokuwa amevaa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Balele.
  Any suggestion?

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 2. a

  allydou JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,485
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  kwani inatatizo gani. mbona ya kawaida.
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,034
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Kule usukumani hiyo ni bonge la pamba.
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Si unajua tena suti za kushonesha
   
 5. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mie nilikuwa nazungumzia hicho kidude cheusi hapo. Ina maana ilikuwa haijafuliwa au Mkulu wa Mkoa ali-ignore.
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  inawezekana mzee mtu wa masigara moto wa sigara ulidondokea hapo akiwa bwiii lakini akawahi kutoa ndio maana limebaki hilo doa!! halafu mbona koti na sarawili havioani rangi au ndio mambo ya wasukus hayo?:pound::pound::smow:
   
 7. P

  Percival JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,568
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hilo dowa jeusi lilikua kwenye lenz ya kamera. Angalia picha ya kwanza na ya pili utaona doa liko mahali tofauti kenye koti katika hizo picha mbili.

  Kitu nimeona hapo ni jamaa wanakuafa kiofisa na tai shingoni - angalia wanavyo tokwa jasho. Nadhani vazi bora kwa mazingira yetu ni safari suit.
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mleta mada makengeza yanamsumbua.
   
 9. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Doa ni la lenzi ya camera au editor wa picha katia chumvi au kakosea. Wala hawatoki jasho kama unavyodhani. Ni recording ya camera pamoja compression ya kupindukia iliyofanywa kwenye picha.
   
 10. P

  Pomole JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana ni mwanga umeakisika kutoka mahali kama si kamera basi kuna mahali umetokea.Sio doa kwa kuwa linaonekana linahama toka sehemu moja hadi nyingine
   
Loading...