data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,942
- 23,893
Wewe mpuuzi huyo demu aliona mbali...Ushauri wangu kwake ni kuwa atafute pesa na mengine yatamfuata bila shida.Mpenzi wangu niliyesoma naye A-Level ,baada ya kuhitimu tulikuwa tynawasiliana vizuri tu,baadae yeye matokeo yake haya kumruhusu kwenda chuo kikuu ikabidi akasome diploma ya ualimu miaka miwili
Muda wote huo tulikuwa tunawasiliana vizuri tu,alipoajiliwa wakati mimi nikiwa bado nasoma akajua tayari mimi nimzigo kwake,hivyo akaanza kujitenga na Mimi,nami sikuwa na hiana nikasema let her go.Hivyo nikawekeza muda na nguvu zangu katika kusoma na kutafuta pesa
Ungemkosti sana. LiCCM..