Hii story imemtokea mwenzetu humu

Hii story imemtokea mwenzetu humu

Vijana wengi wa kiume wanapata ukimwi chuo sababu ya kuamini wanachuo wenzao.
 
Tunae mwanashelia mbobezi Tundu lisu atamsaidia.....hla asifanye makosa oct 28
 
Jamaa anasoma na demu wake chuo huko kigamboni jana ndo ilikuwa aondoke aende likizo maana wamemaliza mtihani wakaagana na demu jamaa akasepa mida ya saa kumi jioni. Demu ni mtu wa chuga imefika mida ya saa moja jamaa akarudi akasema kakosa usafiri wa kumfikisha feri akamcheki demu wake ili ampetaarifa kupiga simu hapatikani mpaka mida ya saa nne akaenda kulala akijua labda demu kalala. Imefika asubuhi mida ya saa moja anapigiwa simu na demu wake kupokea kinaongea kidume jamaa akaweka loudspeaker kidume kinadai ni demu wake na muda huo wapo lodge jamaa haamini akazima palepale daaaah!!! Wahuni hatuamini kwanza demu huwezi mdhania ila jamaa mpaka saivi bado haamini na ukicheki ni couple ya mfano na jamaa ni moja ya watu peace sana hana makuu ila katendwa na mtu ambaye
Huo ndo unaitwa utu uzima sasa ,mtu bado unasoma huna kazi wala kipato cha kueleweka unategemea boom halafu unataka kumiliki mwanamke?
mshauri afuate kilichompeleka chuo akishamaliza a focus kwenye kusaka pesa, hapo ata enjoy life.
 
Jamaa anasoma na demu wake chuo huko Kigamboni jana ndio ilikuwa aondoke aende likizo maana wamemaliza mtihani wakaagana na demu jamaa akasepa mida ya saa kumi jioni. Demu ni mtu wa Chuga imefika mida ya saa moja jamaa akarudi akasema kakosa usafiri wa kumfikisha feri akamcheki demu wake ili ampe taarifa, kupiga simu hapatikani mpaka mida ya saa nne akaenda kulala akijua labda demu kalala.

Imefika asubuhi mida ya saa moja anapigiwa simu na demu wake kupokea kinaongea kidume jamaa akaweka loudspeaker kidume kinadai ni demu wake na muda huo wapo lodge jamaa haamini akazima palepale daaaah! Wahuni hatuamini kwanza demu huwezi mdhania ila jamaa mpaka sasa hivi bado haamini na ukicheki ni couple ya mfano na jamaa ni moja ya watu peace sana hana makuu ila katendwa na mtu ambaye dah!
Mwambie akomae na future yake tu hawa mademu hawatabiriki
 
Huo ndo unaitwa utu uzima sasa ,mtu bado unasoma huna kazi wala kipato cha kueleweka unategemea boom halafu unataka kumiliki mwanamke?
mshauri afuate kilichompeleka chuo akishamaliza a focus kwenye kusaka pesa, hapo ata enjoy life.
Nyege hazina muda maalum mkuu
 
Jamaa anasoma na demu wake chuo huko Kigamboni jana ndio ilikuwa aondoke aende likizo maana wamemaliza mtihani wakaagana na demu jamaa akasepa mida ya saa kumi jioni. Demu ni mtu wa Chuga imefika mida ya saa moja jamaa akarudi akasema kakosa usafiri wa kumfikisha feri akamcheki demu wake ili ampe taarifa, kupiga simu hapatikani mpaka mida ya saa nne akaenda kulala akijua labda demu kalala.

Imefika asubuhi mida ya saa moja anapigiwa simu na demu wake kupokea kinaongea kidume jamaa akaweka loudspeaker kidume kinadai ni demu wake na muda huo wapo lodge jamaa haamini akazima palepale daaaah! Wahuni hatuamini kwanza demu huwezi mdhania ila jamaa mpaka sasa hivi bado haamini na ukicheki ni couple ya mfano na jamaa ni moja ya watu peace sana hana makuu ila katendwa na mtu ambaye dah!
Anywe potassium cyanide afe,anasubiri nn duniani!?
 
Back
Top Bottom