Hii Sjaikubali Saaana

Hii Sjaikubali Saaana

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
s8 (1).jpg
 
sijaelewa mantiki ya kuweka picha ya kuchora ama unidadavulie mkuu Katavi
Kweli hakukuwa na sababu ya kuweka picha ya kuchora, lakini tunaweza kuhisi kuwa walifikia uamuzi huo kwa sababu labda familia haina picha kubwa yenye sura ya muheshimiwa ambayo inaweza kuwekwa katika matukio kama hayo.
 
impossibo hata wizara ikose picha(archive na kumbukumbu zake ofis ya PM) !! TZ tuna mambo!!
 
Kwa kua raisi sio? mahali kama hapo inabidi ujishushe maana ni pazito kwakweli
 
labda niulize kuikuza picha ndogo kuwa kubwa na pichaa ya kuchora ipi ina gharama
 
Hata Mkwawa picha yake ni ya kuchorwa naona hapa kuna mambo flanis
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom