Hii sio sawa yani jana tu mmemaliza

Hii sio sawa yani jana tu mmemaliza

cacutee

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
1,679
Reaction score
4,270
Ndugu zangu eid mubarak

Bwana bwana basi muvumilie japo kidogo mmalize 6. Yan jana tu mfungo mmemaliza mshaanza kusumbua kama nini Eid mkaisherehekee gest? Tangu jana ni mtu wa 4 tena wote walikuwa wamefunga wananialika Eid tukailie chimbo.

Me kwakweli nimekataa sitaki laana ndogondogo. Yani mwezi mzima watu wamefunga kumlilia Mungu Leo hata Eid haijafika hata katikati Niko gest 😲!! hapana kwakweli

Mwezi huu vitimoto vyote vilikosa walaji, gest pia waingiaji walipungua sasa Mara hii washaanza kusumbua
Nachoookaaa Shanghazi yenuu
 
Ndugu zangu eid mubarak

Bwana bwana basi muvumilie japo kidogo mmalize 6. Yan jana tu mfungo mmemaliza mshaanza kusumbua kama nini Eid mkaisherehekee gest? Tangu jana ni mtu wa 4 tena wote walikuwa wamefunga wananialika Eid tukailie chimbo. Me kwakweli nimekataa sitaki laana ndogondogo. Yani mwezi mzima watu wamefunga kumlilia Mungu Leo hata Eid haijafika hata katikati Niko gest 😲!! hapana kwakweli
Mwezi huu vitimoto vyote vilikosa walaji, gest pia waingiaji walipungua sasa Mara hii washaanza kusumbua
Nachoookaaa Shanghazi yenuu
Haina ukweli hii hadithi yako .
 
Kitu ni kile kile, kikifanyikia nyumbani, gesti, kibandani n.k unaweza kukataa gesti ila kibandani unafanya wakati sikukuu bado, hapo unasemaje? Ambaye hajafanya hili tendo kipindi chote cha mfungo anyooshe mkono juu.​
 
Ndugu zangu eid mubarak

Bwana bwana basi muvumilie japo kidogo mmalize 6. Yan jana tu mfungo mmemaliza mshaanza kusumbua kama nini Eid mkaisherehekee gest? Tangu jana ni mtu wa 4 tena wote walikuwa wamefunga wananialika Eid tukailie chimbo.

Me kwakweli nimekataa sitaki laana ndogondogo. Yani mwezi mzima watu wamefunga kumlilia Mungu Leo hata Eid haijafika hata katikati Niko gest 😲!! hapana kwakweli

Mwezi huu vitimoto vyote vilikosa walaji, gest pia waingiaji walipungua sasa Mara hii washaanza kusumbua
Nachoookaaa Shanghazi yenuu
Kawape Takko ilo walivuruge!! Sio unawapa tu wachungaji huko church kila siku
 
Back
Top Bottom