Hii sio sawa yani jana tu mmemaliza

Hii sio sawa yani jana tu mmemaliza

Ila hawa watu kuna binti fulani nilipata kufahamiana nae kabla ya mfungo, mazoea yakazidi akataka kunitunuku ila excuse ikawa ni mfungo tungoje hadi uishe akaweka ahadi eid pili ila mimi nampotezea, leo asubuhi na mapema kanitafuta kunikumbushia kuwa mfungo umeisha. Uhaina wa ujana nimeacha naona huyu pepo mchafu atashindwa tu.
 
Back
Top Bottom