Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Kwanza lazima tukubaliane kuwa rangi nzuri kwa taulo ni nyeupe na kazi ya taulo ni kukausha maji mwilini baada ya kuoga, unajikandakanda tu bila kutumia nguvu na kwakuwa taulo ni kotoni tupu basi hunyonya maji yote mwilini na kukuacha mkavu huku taulo lako likibaki safi
shida ni pale mtu anapotumia taulo kutoa nongo ambayo ameshindwa kuitoa wakati anaoga umakuta mtu anajifuta na taulo utafikiri anajisugua HIYO SIO KAZI YAKE, kwa jinsi hiyo taulo halikawii kuchafuka kufubaa na kupoteza weupe wake na hasa kama wewe ni mvivu wa kufua basi kazi ipo
tembelea gesti za uswazi utajionea mwenyewe yani huwezi kujua kama taulo lilikuwa la kijani njano au.jeupe kwa ufupi linatia kinyaa na linakuwa na kaharufu fulani kabaya mno