Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,607
Hatariiii dia wanguu😂😂😂😂😂😂siku napokea tuzo naomba tusipishane tuu
Hongera dear...nmekuona kweli umewahi
Siku hizi tunapishana Sana humu,hatuonani
Hatariiii dia wanguu😂😂😂😂😂😂siku napokea tuzo naomba tusipishane tuu
Hongera dear...nmekuona kweli umewahi
Siku hizi tunapishana Sana humu,hatuonani
Labda alijiongeza kuona kama nauli tu nimetumiwa hii hali itakuwaje?Mie sidhani shida ni nauli kwa maana hata kama angetumiwa laki as long as alishaamua kumdhulumu kwa kutokwenda asingekwenda vile vile,
Hahaaha we umeamkaje lkn leo?Em hukoo...na sura yangu hii ya wasira anihonge nani mimi...duuuh!!!!![]()
Nimekunywa supu ya mapupu asubuhi...basi naona kama yanatetema hivi tumboni😂😂😂Hahaaha we umeamkaje lkn leo?
Woiii siku hizi sikai tabata jomoniii...niko msakuzi mimi![]()
Kama mapachaIna maana huyo kwa avatar anafanana na ww???
Tangu januari babe...Toka lini..?
Inawezekana tunapishana kila sikuTangu januari babe...
Wow😍...you're too cuve😋😋Kama mapacha
awapi uliamua tu kuwekeza kidogoo! we ungejitoa ufahamu ukapeleka hata 20,000/- uone kama asingetia timu.Kila mbuzi huru kwa kadri ya urefu wa kamba yake
Inawezekana eti..Inawezekana tunapishana kila siku
Msihamie mbali hivyo mnatukatisha tamaa!Tangu januari babe...
Mwendokasi tuu 650...tena unanikatia tiketi kabisaa😄Msihamie mbali hivyo mnatukatisha tamaa!
DahNilimtumia 4800

Umeanza lini unafiki?Wow😍...you're too cuve😋😋
Nitakuwepo nashuhudia ushindiHatariiii dia wanguusiku napokea tuzo naomba tusipishane tuu






