Naona mmeungana kutetea upigaji wa 4,800/-Na kwa staili hii hatuendi kokote
Yaani hawa viumbe bhanaNaona mmeungana kutetea upigaji wa 4,800/-
That is noted. Kwa hiyo Sisi site mnatuona mbwiga??Nimetania tu[emoji5]
Haya changishaneni mumrudishie kanali 4800 yake msizuge hapa
That is noted. Kwa hiyo Sisi site mnatuona mbwiga??
Naona mmeungana kutetea upigaji wa 4,800/-
Nitakutumia usijali, bei gani itakutosha kufika kazimzumbwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya kumekucha, mbona mie situmiwi nauli hivi nakwama wapi[emoji134][emoji134][emoji134]
Mbona hukuaga?Woiii siku hizi sikai tabata jomoniii...niko msakuzi mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahahahaahhaKwani me naishi Maji matitu mkuu???? Ngoja wanaokaa mbagala wachange
Unataka nije nilete uzi wa " lnna kanichuna hajatokea" ?Bahili kama ww hatukutaki apa una edit msg ya mpesa..kione kwanza[emoji34][emoji857]
Aahh..niko kote koteπMbona hukuaga?
Oh yeahπTakutumia nyingi ambayo hata nikikutangaza roho haiumi
[emoji1][emoji1][emoji1]Aahh..niko kote kote[emoji1]
π€£ Kwa kweli ukiombwa kiwango kama hiko lazima ujue ulikuwa unataniwa ili ujiongeze! Na kwamba kwa kupata vichekesho vingine kama hivyo wasiliana na Dada huyo wa JF!πππππππ
Hebu kuweni na huruma rudisheni hiyo hela jamani
Hii komenti yako imenibidi ni cheke tu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya kumekucha, mbona mie situmiwi nauli hivi nakwama wapi[emoji134][emoji134][emoji134]
Nzeze mwenshu?Kuzacha
Nimekumbuka tu...Una nini lakiniii...[emoji849]