Hii sio haki

Haya mstaafu kanali wewe unajiliza mpaka kamasi zinakutoka kwa 4800 huku wengine wapo tayari kutoa tractor zao na kutujengea watoto wazuri
Asee ilo ni toto kweli kweli, nikikutana nae nauza tractor zangu zote,naenda kumjengea pembeni ya mlima Kilimanjaro!!!
 
Kama unataka hawa madem wa mtandao hlf humwelewielewi, usiingie kichwakichwa atakupa za uso kama alivyofanyiwa huyu. Kama abdala kichwawaz anasumbua unataka kumpooza kimtandao manyo hii hapa


1.Usitume picha halisi km bado hamsomani, tafuta mpicha feki mtumie kwanza hiyo, hadi msomane sawasawa.

2.akiomba hela eti sijui ya nauli sijui ya kumwachia nan, huyo achanae kabisa kwan hata ukimtumia sio wa kuja huyo.

3.akikataa kumpigia simu eti spika mbovu mara sijui yupo na watu gan, kwa hakika hapo kuna uwezekano mkubwa unaongea na dume hilo, kimbia fasta. Au km hatak video call huyo ni dume.
 
Chai ya rangi hii....

Mahali atokako maji matitu, hlf eti inahitaji nauli... Nauli inatumwa 4800/=....ilikuwa ni biashara ya kimalaya au mlikuwa kimahaba?
 
Back
Top Bottom