Hii sijui ni dharau, kukomoana au ulimbukeni

Hii sijui ni dharau, kukomoana au ulimbukeni

tuliobatika na neema ya kuijua jf na kuipenda kwa dhati ni wachache Hunyu.

Angeweza kusoma comment zote yeye mwenyewe nina hakika angepata challenge.

Barriers of communication najua unazijua. Ukimpelekea mawazo hayatafika kama yalivyo, unless umpe asome ye mwenyewe

Basi poa
 
Last edited by a moderator:
haya ndio matatizo ya kujitakia..
Unahangaika na mwanamke aliyezalishwa, pili kamzidi umri.

Mm binafsi naona jamaa ameamua kujipa tifu la moyo ....
Unaona kabisa mtu amefikisha miaka 31 inamaana hapo mtaan kwao hawajamuona?
 
tatizo kuamini kuwa waliowahi kuteswa na mapenzi ndo wanaofaaa kwa sababu ya experience walizowahi kupitia..
 
tatizo kuamini kuwa waliowahi kuteswa na mapenzi ndo wanaofaaa kwa sababu ya experience walizowahi kupitia..

tatizo baadhi yetu wanaume tunapenda sana viporo. Kula kitu kipya anza nacho mwenyew ....

Sasa huyu bwana kakimbilia kula kiporo kilichoachwa na wenzake ameanza kuharisha anakuja kuomba msaada kwetu...
 
huyo dada kwa asili yake hajielewi tu. Wengi waliopitia changamoto kama yeye huwa wanajua kuhandle ndoa wakipatata tena ila kuna wachache ambao kutojielewa ni asili yao. Mi namshauri aachane nae mapema tu before things gets too serious
 
Sijui kwa nini nahisi hii hadithi ya kutunga
 
Mwambie huyo jamaa ampige chini tu huyo mwanamke
 
Sio vizur kuongozwa na hisia

Mi nimesema tu hisia zangu mkuu...kwani nimesema na wewe uzifuate? Af hiyo Id yako nahisi we ndugu yangu vileee....au na hapa utasema nisiongozwe na hisia?
 
hapo kwenye kumfundisha mwanae kumwita huyo baba mpya mjomba ni sawa maana leo utamfundisha mtoto amwite huyu baba kesho mkiachana anapata baba mpya inamchanganya mtoto bora aite anko au ikiwezekana asitambulishwe kabisa mpaka uhakika wa ndoa uwepo
anyway hayo mengine huyo bidada hajielewi mwambie mshikaji wako amweke chini waongee hizo tabia zake ajirekebishe

Na wakiachana mtoto si anapata uncle mwingine!
Kuna tofauti na kupata baba mwingine? miss neddy
 
Last edited by a moderator:
Mi nimesema tu hisia zangu mkuu...kwani nimesema na wewe uzifuate? Af hiyo Id yako nahisi we ndugu yangu vileee....au na hapa utasema nisiongozwe na hisia?

Mi Ni wa milimani huko makete bt nimebahatika kuwepo mjini,sisi sote Ni ndugu
 
hapo kwenye kumfundisha mwanae kumwita huyo baba mpya mjomba ni sawa maana leo utamfundisha mtoto amwite huyu baba kesho mkiachana anapata baba mpya inamchanganya mtoto bora aite anko au ikiwezekana asitambulishwe kabisa mpaka uhakika wa ndoa uwepo
anyway hayo mengine huyo bidada hajielewi mwambie mshikaji wako amweke chini waongee hizo tabia zake ajirekebishe

Nidai soda
 
na umri huo bidada ana vimbwanga kuolewa hapo labda na mario kwa kweli
 
Back
Top Bottom