Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,080
- 22,438
Low IQ RetardantAmejaa mama yako muhaya
Low IQ RetardantAmejaa mama yako muhaya
Huu mpaka wa Gaza na Misri uliijengwa na Israel?Hufahamu Israel imefunga mipaka yote ya Gaza? hufahamu hata misaada ya kibinadamu kutoka mataifa mengine Israel inapiga vita?
Shida humu jamiiforums ni ushamba, wengi wenu huona Europe ni peponi, EU ndipo ukifika kila kitu kipo sawa, wapo perfect...
Europe kuna wanasiasa wala rushwa kama ilivyo Africa tofauti yao na sisi ni uwajibikaji , US, Middle East na kokote duniani, maandamano yaliytokea Africa, huko Kenya, Morocco, Madagascar na pengine nayo yalipelekewa na uislamu ama wageni kutoka nchi za kiarabu?
Hivi unafahamu rais wa France aliyepita Nicolas Serkozy yupo gerezani kwa kifungo cha miaka mitano? unafahamu moja ya shtaka lake kubwa kabisa ni kutumia pesa za aliyekuwa rais wa Libya Muammar Gaddafi kwenye kampeni zake mwaka 2007, baada ya kutumia pesa za Gaddafi, Nicolas ndiye alikuwa wa kwanza kupeleka ndege kummaliza Gaddafi...
Kwanini raia wasitoke kuandamana kama viongozi wanafanya mambo ya aibu kiasi hiko? unafikiri Ulaya hakuna maisha magumu?
Tuongee kuhusu Japan, unaongelea miaka ya 1940s ambapo kulikuwa na ugumu kwa makundi ya wananchi kuvuka na kukimbilia US, kingine kwa sheria za Japan mtu kutoroka wakati ule wa vita ilikuwa ni uhaini, kingine 1924 US ilisha ban uhamiaji kutoka Japan, hivyo unaongea vitu usivyovofahamu....
1883 huko US New York, unapo paona ni peponi, kuna maandamano yalifanyika makubwa na mabaya, takribani watu 120 waliuawa, waliofanya hayo maandamano ni Irish immigrant , waliua watu weusi, wakachoma majengo na nyumba...
Ilibidi Abraham Lincoln aingize jeshi kuzuia hio ghasia, na ikapelekea watu 120 kufariki...
Chanzo ni serikali ilipitisha sheria kwa wananchi wanao jiweza kulipa fidia ya dola 300 kama hawatoweza kuingia jeshini...
Nikuulize hao Irish immigrant ni waarabu? ni waislamu? huo mwaka hao wahamiaji kutoka middle east walikuwa kiasi gani huko US?
Acheni propaganda zisizo na kichwa wala miguu, na ni ujinga kumsikiliza na kumuamini mtu muongo na muovu kama Trump...
Hebu elezea hao wahamiaji kutoka middle East walikuwa kiasi gani kwenye hayo maandamano... huu ujinga mnalishwa matango pori na Trump na western media na nyie mnaonekana akili hazimo...
Hao EU ndio walikuwa wanapiga kelele maandamano Iran kwamba wananchi wapewe haki yao, ni muda sasa na wao kutekeleza waliyosema, sio kusingizia wahamiaji...
Wawajibike...
Huu unaandika ni ujinga, kwani Qatar, UAE, Kuwait, Saudi, mbona kuna maendeleo na maisha mazuri kuliko hizo nchi za EU? mbona wao ni waarabu na waislamu ni wengi, Wazungu wanatoka US na EU wanakwenda middle east kushangaa miji ilivyojengeka.... ulishaona wanachoma miji yao moto? wanashambuia wageni?
Acheni propaganda zisizo na maana...
Hivyo na mashoga walivyojaa Israel, shida ni uyahudi?
Israel ilitaka Palestinians waingie Egypt, Gaza yote iende Egypt , Gaza iwe empty, na wqngeenda Egypt, Israel ingeweka ulinzi mpakani wasirudi tena Gaza...Huu mpaka wa Gaza na Misri uliijengwa na Israel?
ch0k0 wewe unaetembea na chupi ina maviLow IQ Retardant
Wakati huyo mzee wenu alikuwa Kenya kujenga nchi ya Wakikuyu sisi Baba yetu wa Taifa alikuwa bize kujenga Tanganyika Ambayo ndio tunawafuga kama nguruwe.ch0k0 wewe unaetembea na chupi ina mavi
Wakati baba yako analawitiwa na mapadri wa kikatoliki shuleni kabla hujazaliwa, huyu ndio alikuwa Kenya Army Chief punga wewe
View attachment 3699066
Israel syndrome inawasumbuaIsrael ilitaka Palestinians waingie Egypt, Gaza yote iende Egypt , Gaza iwe empty, na wqngeenda Egypt, Israel ingeweka ulinzi mpakani wasirudi tena Gaza...
Ilikuwa nia ovu ya Israel kuikamata na kuimiliki Gaza, na two state solution isingepatikana...
Na ambacho hufahamu viongozi wa Hamas waliona kama Egypt imesaidia kutohamisha watu waingie Egypt...
Hilo lilionekana kama Nakba iliyotokea 1948, baada ya Wapalestina kama 800,000... kuhama makazi yao, ilikuwa ni nusu ya population yote ya Wapalestina, walihama na kuacha eneo ambapo leo ndio Israel....
Hivyo kuhama kwa watu wa Gaza ilikuwa ni kama Nakba ya pili...
Huko ni watundu sana. Ukute wadau walishapima DNA zao na kukuta ni ndugu kweli hivyo wanachokonoa wapate pa kuanzia. Huenda ana hisi hivyo ndo maana anatoa majibu ya njia panda.Yaani hilo jibu lake kajimaliza kabisa 🤣.
Mtu kama siyo ndugu yako unashindwa nini kukana kwa nguvu zako zote?
Upo Nyalugusu unawaonea huruma wafaransa ajabu unakutana na mfaransa mwenyewe wala hawazi hivo unavowaza, tembea bro utowe tongotongo au miwani ya mbao.Nchi za ulaya zimeingiliwa na hawa watu. Ona Ufaransa wanavyosumbua
Sikia wewe mbung'oWakati huyo mzee wenu alikuwa Kenya kujenga nchi ya Wakikuyu sisi Baba yetu wa Taifa alikuwa bize kujenga Tanganyika Ambayo ndio tunawafuga kama nguruwe.
Mnajenga nchi za wengine mnaacha kwenu 😆😆
Hata jamii forum ni ya Mtanzania unaemuita NyaniSikia wewe mbung'o
Inaonekana huna kazi ya kufanya, nenda katafute vilaza wenzako mjadili huu upumbavu wako
kafe mbele huko sina muda mchafu
Ni ndugu yake wa damu
Unatia hurumaHata jamii forum ni ya Mtanzania unaemuita Nyani
Nenda kwenye mtandao ya kijamii ya Wasomalia wenzako
Kenge
Who cares ?Unatia huruma
Hii posti ya mwisho kukwambia wewe ni masikini
Wengine tunaingia humu tukichoka kusikiliza meetings kazini, wakati wewe masikini unashinda humu
Haya kalia dole hilo
Hao wanakulana kama kawaWasomali kaka na dada wanaweza kuvuliana chupi? Anyway, tamaduni za watu bwana....
Unatia huruma kinyongeWho cares ?
Sasa namiliki shamba na ngombe Niko zangu kijijini namtumbo unataka nifanye kazi Gani.
Wewe ulieko ugenini ndio inabidi ufanye kazi Kwa bidii Ili siku tukiwafukuza mrudi kwenu somalia mpate mitaji ya kianza kuuana Mogadishu kama nguruwe
Rudi kwenu kafix nchi yenu sio mnakuwa ugenini mnatupangia namna ya kuishi pumbavu!
Hainaga uduguWasomali kaka na dada wanaweza kuvuliana chupi? Anyway, tamaduni za watu bwana....
Pirate somalisUnatia huruma kinyonge
Pirate somalis
Go back to your shithole fuckin country
Biiitch
Niger anamuita Niger ... Niger