Hii si dalili nzuri kwa Ilhan Omar

Hii si dalili nzuri kwa Ilhan Omar

Kwanini Waarabu hawawachukui waarabu wa Gaza ?
Israel anafanya uhalifu Gaza ili kuwaondoa Palestinians pale either kwa kuwaua au waondoke kama wakawe wakimbizi hence nia yake ya kuiteka Gaza ifanikiwe so kwa logic ya kawaida kabisa huoni kama mataifa ya jirani na Palestine yakifungua mipaka kupokea wakimbizi huoni wanakuwa wanafanikisha lengo la msingi la Israel?
 
Sijui moderater wa hapa wanafanya kazi ipi kwa sasa?. Sasa mtu kama huyu yeye ni matusi tu badala ya hoja. Mamodorater hebu soma hii kama akija mtu hapa kusoma kuna kitu ataelimika kwa huyu?. Hawa wasio kuwa na hoja badala yake wanashusha matusi hawa ndio wapigwe ban milele. Huyu hata akija na ids nyingine atajulikana tu ksbb ndio malezi yake,lazima apigwe ban milele. Hawa wakae huko FB,hapa sio mahala pa hivyo.

Tukitaka JF irudi kama zamani mijadala ya kina ondoa hawa wasio na hoja.
pumbavu wewe kilaza una mjadala gani wa hoja
unaleta umasikini kujadili maisha ya watu nyang'au wewe
 
Ona kama hivi hana hoja zaidi ya matusi. Sasa nawauliza moderater maana ya kupitia sms zote kabla haijaruka hapa ni ipi? Kama mnaziachia sms ambazo mtu akisoma hawezi kujifunza chochote
hutaki kuitwa nyani wewe
hilo lipua likubwa na nywele za kipilipili wewe sio nyani ?
 
Ona kama hivi hana hoja zaidi ya matusi. Sasa nawauliza moderater maana ya kupitia sms zote kabla haijaruka hapa ni ipi? Kama mnaziachia sms ambazo mtu akisoma hawezi kujifunza chochote
wewe nyani kuna hoja umeleta zaidi ya udini na ubaguzi unaotokana na umasikini wako
Kama umeshindwa maisha ndio ulaumu waliokuzidi kwa kukashifu dini yao au utaifa wao maku wewe
 
Huyo nimemjibu kwasababu aliikuwa ananitukana matusi.



Account yangu Ina miaka 12 humu.


Replies zangu zote za mwanzo nilikuwa Nampa facts za vyanzo vya Habari vya kimataifa kuonesha wasomali wasivyo waaminifu na kuonesha umasikini wa nchi Yao lakini yeye akawa anashusha matusi.
Angalia mbulula hili wewe kilaza utoe wapi facts wakati shule ilikushinda ndio ukadhani kuingia ulokole mavi wa kutembea na bibilia unataoneka msomi, wewe kilaza huna chochote unachojua kwanza umekimbia kule kwenye ile mada
Ndio mimi msomali na nina hela kuzidi kukuzidi wewe masikini mwenye akaunti zaidi ya miaka 12 humu maana yake wewe choka mbovu huna lolote unashinda kuandika ujinga tu masikini wewe
 
Angalia mbulula hili wewe kilaza utoe wapi facts wakati shule ilikushinda ndio ukadhani kuingia ulokole mavi wa kutembea na bibilia unataoneka msomi, wewe kilaza huna chochote unachojua kwanza umekimbia kule kwenye ile mada
Ndio mimi msomali na nina hela kuzidi kukuzidi wewe masikini mwenye akaunti zaidi ya miaka 12 humu maana yake wewe choka mbovu huna lolote unashinda kuandika ujinga tu masikini wewe
Nyie ni watu wenye IQ ndogo Dunia nzima


Cheki hapa


Sasa unapata wapi audacity ya kuniita kilaza
 

Attachments

  • Screenshot_20261025-140537.png
    Screenshot_20261025-140537.png
    644.3 KB · Views: 5
  • G7YlW-mb0AQiHPV.jpg
    G7YlW-mb0AQiHPV.jpg
    298 KB · Views: 5
  • Screenshot_20261025-140927.png
    Screenshot_20261025-140927.png
    567.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20261025-140816.png
    Screenshot_20261025-140816.png
    882.1 KB · Views: 5
wewe nyani kuna hoja umeleta zaidi ya udini na ubaguzi unaotokana na umasikini wako
Kama umeshindwa maisha ndio ulaumu waliokuzidi kwa kukashifu dini yao au utaifa wao maku wewe
Nyie ndio nyani


Hivi Huwa mnapata wapi nguvu ya kuita waafrica wenzenu nyani 😆
 

Attachments

  • Screenshot_20261025-141132.png
    Screenshot_20261025-141132.png
    1.2 MB · Views: 4
Kwanini Waarabu hawawachukui waarabu wa Gaza ?
Hufahamu Israel imefunga mipaka yote ya Gaza? hufahamu hata misaada ya kibinadamu kutoka mataifa mengine Israel inapiga vita?
Kwani Japan haikuwahi kuvamiwa na Marekani mbona hawafanyanyi ujinga western ?
Shida humu jamiiforums ni ushamba, wengi wenu huona Europe ni peponi, EU ndipo ukifika kila kitu kipo sawa, wapo perfect...
Europe kuna wanasiasa wala rushwa kama ilivyo Africa tofauti yao na sisi ni uwajibikaji , US, Middle East na kokote duniani, maandamano yaliytokea Africa, huko Kenya, Morocco, Madagascar na pengine nayo yalipelekewa na uislamu ama wageni kutoka nchi za kiarabu?
Hivi unafahamu rais wa France aliyepita Nicolas Serkozy yupo gerezani kwa kifungo cha miaka mitano? unafahamu moja ya shtaka lake kubwa kabisa ni kutumia pesa za aliyekuwa rais wa Libya Muammar Gaddafi kwenye kampeni zake mwaka 2007, baada ya kutumia pesa za Gaddafi, Nicolas ndiye alikuwa wa kwanza kupeleka ndege kummaliza Gaddafi...

Kwanini raia wasitoke kuandamana kama viongozi wanafanya mambo ya aibu kiasi hiko? unafikiri Ulaya hakuna maisha magumu?

Tuongee kuhusu Japan, unaongelea miaka ya 1940s ambapo kulikuwa na ugumu kwa makundi ya wananchi kuvuka na kukimbilia US, kingine kwa sheria za Japan mtu kutoroka wakati ule wa vita ilikuwa ni uhaini, kingine 1924 US ilisha ban uhamiaji kutoka Japan, hivyo unaongea vitu usivyovofahamu....


1883 huko US New York, unapo paona ni peponi, kuna maandamano yalifanyika makubwa na mabaya, takribani watu 120 waliuawa, waliofanya hayo maandamano ni Irish immigrant , waliua watu weusi, wakachoma majengo na nyumba...
Ilibidi Abraham Lincoln aingize jeshi kuzuia hio ghasia, na ikapelekea watu 120 kufariki...
Chanzo ni serikali ilipitisha sheria kwa wananchi wanao jiweza kulipa fidia ya dola 300 kama hawatoweza kuingia jeshini...
Nikuulize hao Irish immigrant ni waarabu? ni waislamu? huo mwaka hao wahamiaji kutoka middle east walikuwa kiasi gani huko US?
Acheni propaganda zisizo na kichwa wala miguu, na ni ujinga kumsikiliza na kumuamini mtu muongo na muovu kama Trump...

USSR ilidondishwa na USA chini ya Gorbachev mbona huoni watusi wanafanya ujinga.
Hebu elezea hao wahamiaji kutoka middle East walikuwa kiasi gani kwenye hayo maandamano... huu ujinga mnalishwa matango pori na Trump na western media na nyie mnaonekana akili hazimo...
Hao EU ndio walikuwa wanapiga kelele maandamano Iran kwamba wananchi wapewe haki yao, ni muda sasa na wao kutekeleza waliyosema, sio kusingizia wahamiaji...

Wawajibike...
Ukraine Ina wakimbizi wamejaa Poland mbona hawafanyanyi ujinga
Huu unaandika ni ujinga, kwani Qatar, UAE, Kuwait, Saudi, mbona kuna maendeleo na maisha mazuri kuliko hizo nchi za EU? mbona wao ni waarabu na waislamu ni wengi, Wazungu wanatoka US na EU wanakwenda middle east kushangaa miji ilivyojengeka.... ulishaona wanachoma miji yao moto? wanashambuia wageni?
Acheni propaganda zisizo na maana...
Issue hapo ni uislam
Hivyo na mashoga walivyojaa Israel, shida ni uyahudi?
 
Mapema leo akihojiwa na kituo cha runinga cha MS Now, mbunge wa baraza la wawakilishi kutoka huko Minneapolis, Minnesota, kaulizwa swali kuhusu mwanaume aliyeoana naye ambaye inadaiwa kuwa ni ndugu yake/ kaka yake.

ilhan kajibu “not to my knowledge”.

Anzia dakika ya 14:12 mpaka 15:00.


View: https://youtu.be/SPGxj0mhTBU?is=SGBGlYclmHJ9Dj9W

Jibu la hilo swali ni jepesi mno.

Ni kiasi cha kusema tu ndiyo au hapana.

Utashindwaje kujua kama unayeoana ni kaka yako au la?

Mimi nahisi hapo wamemshika pabaya Ilhan.

Kwenye immigration fraud Marekani, watu kuoana na ndugu zao ili wapate makaratasi ni jambo linalofanyika sana.

Uwezekano wa Ilhan na kaka yake kuoana ili kaka mtu apate makaratasi, ni mkubwa sana.

Who cares?
 
Nyie ni watu wenye IQ ndogo Dunia nzima


Cheki hapa


Sasa unapata wapi audacity ya kuniita kilaza
Kitendo cha kuleta machapisho ya twita kama ushahidi wewe ni nyani na tena yule nyani wa vijijini kilaza huna akili ya kawaida kujua taarifa zipi sahihi na zipi uongo hapo tayari wewe ni nyani
 
pumbavu wewe kilaza una mjadala gani wa hoja
unaleta umasikini kujadili maisha ya watu nyang'au wewe
Madhara ya KUZALIWA na wamama wa kisomali waliokatwa Clitoris na kufanyiwa circumstance
 

Attachments

  • G7YlW-mb0AQiHPV.jpg
    G7YlW-mb0AQiHPV.jpg
    298 KB · Views: 4
Back
Top Bottom