Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,331
- 144,786
Yaani hilo jibu lake kajimaliza kabisa 🤣.Ni ndugu yake wa damu
Utashindwaje kujua kama unayeoana ni kaka yako au la?
Mimi nahisi hapo wamemshika pabaya Ilhan.
Watu wa Afrika Kaskazini [Algeria, Morocco, Tunisia, etc] huwa wanaoana mabinamu.Nishawahinsikia kwamba Wasomali na jamii ya hapo Eritrea, Djibout huwa hawana shida ndugu kuoana (lakini sio wa kuzaliwa toka same mother/father)
Kama ulivyosema inawezekana aliolewa kwa makaratasi ili mmoja wao aingie nchiniWatu wa Afrika Kaskazini [Algeria, Morocco, Tunisia, etc] huwa wanaoana mabinamu.
Yawezekana huo utamaduni upo pia kwenye hizo sehemu ulizozitaja.
Huyu Ilhan anatuhumiwa kuoana na kaka yake…..
Mimi nahisi ni kweli.
Ni kinyume cha Sheria Marekani Dada na Kala kuoana ?Watu wa Afrika Kaskazini [Algeria, Morocco, Tunisia, etc] huwa wanaoana mabinamu.
Yawezekana huo utamaduni upo pia kwenye hizo sehemu ulizozitaja.
Huyu Ilhan anatuhumiwa kuoana na kaka yake…..
Mimi nahisi ni kweli.
Ndiyo.Ni kinyume cha Sheria Marekani Dada na Kala kuoana ?
Kwa akili ya kawaida hapo anatafuta makaratasi tu,lakini hakutakuwa na ndoa kama ndoaWatu wa Afrika Kaskazini [Algeria, Morocco, Tunisia, etc] huwa wanaoana mabinamu.
Yawezekana huo utamaduni upo pia kwenye hizo sehemu ulizozitaja.
Huyu Ilhan anatuhumiwa kuoana na kaka yake…..
Mimi nahisi ni kweli.
Hiki ndicho ninacho waza just to get permitSasa hata kama wameoana .nani ana uhakika walikuwa wanafanyana?uenda waliofanya udanganyifu.
Umbu lake kabisa.Sasa,USA (DOJ)ikikomaa na "GOD BLESS AMERICA" kwa kufuata mafundisho ya biblia,huyo bibie atapona kweli?Ni ndugu yake wa damu
Ndiyo ni kosa na wanaiishi misingi na miongozo ya biblia.Ni kinyume cha Sheria Marekani Dada na Kala kuoana ?
Kufundisha kwamba,mdomo mrefu kama chuchunge huponza kichwa cha kuku kilichobeba kilemba.Ina kusaidia nini?
Kwa hiyo WALIDANGANYA.Kuna adhabu za udanganyifu.Kwa akili ya kawaida hapo anatafuta makaratasi tu,lakini hakutakuwa na ndoa kama ndoa
Hili nalo lahitaji mjadala?
Jamii nyingi za asia pia kuoana bamkubwa kwa bamdogo sawa tu a.k.a binamu ..Nishawahinsikia kwamba Wasomali na jamii ya hapo Eritrea, Djibout huwa hawana shida ndugu kuoana (lakini sio wa kuzaliwa toka same mother/father)
Kwa kudanganya?Hiki ndicho ninacho waza just to get permit