Hii si dalili nzuri kwa Ilhan Omar.

Hii si dalili nzuri kwa Ilhan Omar.

Sisi Tumelaaniwa. Yale mambo ambayo huwa tunawasema Makafir ndo tunayafanya. Huu ni Ushetwan au labda wanamsingizia tu sababu ya wivu na Islamaphobia. Sidhani kama anaweza olewa na kaka yake. Sidhani
Hivi unajua kuwa rekodi za ndoa huwa zipo zinahifadhiwa na serikali za majimbo?

Hawaqezi kumsingizia kwa sababu ushahidi wa ndoa yake upo.

Na kuna watu wengi tu ambao hufanya utapeli kama huo ili kupata makaratasi.
 
Acha apigwe spana. Wameiharibu sana Minnesota. Imekuwa shiithole kama walikotoka.
 
Shida ya watu wengi duniani ni kwamba wanaamini Marekani ni mbingu iliyopo duniani hivyo watafanya chochote kile kiwe ni kibaya au kizuri ili mradi tu waingie Marekani.

Huyo kama vipi vipi arudi tu kwao kwani sasa hivi kuna amani huko hivyo hana kisingizio chochote lakini wajifunze kuheshimu tamaduni za watu wengine wasitegemee kila mtu afuate utamaduni wa kiarabu hilo halipo hata waarabu wenyewe leo hii wamechoka na huo utamaduni wao wa kale na wanakimbilia kwa wazungu.

Pia waache kuunga mkono magenge ya kigaidi kwa kisingizio cha dini.
 
Nikafikiri ameghushi makaratasi yaani cheti cha ndoa tu ila hawajaoana kumbe Bro anaichapa kiukweliukweli.🤔

Kweli kwa makafiri kutamu.
 
Nishawahinsikia kwamba Wasomali na jamii ya hapo Eritrea, Djibout huwa hawana shida ndugu kuoana (lakini sio wa kuzaliwa toka same mother/father)
Mtu ambae huruhusiwi kumuoa
Dada yako tumbo moja
Dada yako wa kunyonya
Dada yako kwa baba mkubwa au baba mdogo
Dada wa mama yako
Shangaz yako
Mama yako wa kambo
Kuoa ndugu wawili kwa wakati mmoja
Mtoto wa dada yako/kaka yako
 
Mtu ambae huruhusiwi kumuoa
Dada yako tumbo moja
Dada yako wa kunyonya
Dada yako kwa baba mkubwa au baba mdogo
Dada wa mama yako
Shangaz yako
Mama yako wa kambo
Kuoa ndugu wawili kwa wakati mmoja
Mtoto wa dada yako/kaka yako
Hizo nadharia, wao zimewashinda.
 
Watu wa Afrika Kaskazini [Algeria, Morocco, Tunisia, etc] huwa wanaoana mabinamu.

Yawezekana huo utamaduni upo pia kwenye hizo sehemu ulizozitaja.

Huyu Ilhan anatuhumiwa kuoana na kaka yake…..

Mimi nahisi ni kweli.
Wasomali pia wana oana binamu.
 
Back
Top Bottom