Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,306
Yaani hilo jibu lake kajimaliza kabisa 🤣.
Mtu kama siyo ndugu yako unashindwa nini kukana kwa nguvu zako zote?
Sisi Tumelaaniwa. Yale mambo ambayo huwa tunawasema Makafir ndo tunayafanya. Huu ni Ushetwan au labda wanamsingizia tu sababu ya wivu na Islamaphobia. Sidhani kama anaweza olewa na kaka yake. Sidhani