Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,909
Nimefika baa moja hapa mjini wahudumu wamekataa kunihudumia eti hairuhusiwi mpaka saa 10.30 jioni.namani hii nchi tunakwenda wapi? Wengine wana ruhusa ya madaktari kunywa pombe sasa sielewi ni halmashauri imepiga marufuku au laa. Jamani naomba hili suala naomba liangaliwe hii nchi sasa tunaendeshwa kidikteta.