Kuna muda viroba ambavyo ndani yake kulikuwa na watu vilikuwa vinaokotwa mto Ruvu na Rufiji kipindi cha awamu ya tano..Najiuliza wale watu walikuwa ni majambazi au wananchi wa kawaida?
Polisi wanaendeshwa na njaa.
Wazalendo wa hii nchi hawapo kwenye vyombo vya usalama , mifumo ya majeshi imejazana ndugu tu wanakula mishahara.
Waombe hii nchi iendelee kutulia hivi hivi,, siku italipuka wengi wataficha magwanda maana uzalendo hawana.
Mfumo CCM umefeli tuukatae.Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi.
Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu anatekwa mpaka kuuawa polisi hawashtuki mpaka taarifa zitoke kwenye mtandao ndio wanaanza kuchukua hatua. Au Binti kubakwa na watu SITA bila polisi kugundua mpaka wananchi walipotoa taarifa mitandaoni kuhusu unyama ndipo polisi wakaanza upelelezi.
Kuna taarifa imeibuka ya kwamba ndugu Gerald Ibrahim mkazi wa Uvunza ametekwa na watu wasiojulikana na haijulikani yupo wapi maana hayupo kwenye custody ya polisi. Hii sio sawa , kazi ya polisi ni kulinda raia na Mali zake na sio kuwaumiza kwa ujinga wanazofanya .
Cha kusikitisha zaidi, Kuna watu wanatumia Ikulu kutapeli watu lakini polisi ipo kimya bila kuchukua hatua . Ni muda Sasa Polisi ifanye kazi yake, la sivyo Kuna watu watapata mwanya na kufanya uhalifu usipiopimika na ambao utashangaza watu wengi, Kama ilivyofanyika nchini Kenya kana shakahola au mauaji ya kawangware.
Jeshi la polisi mna nafasi ya kujirekebisha kabla hii Hali haijazoeleka na kuonekana ya kawaida.
Ukizoea kula nyama ya mtu huwezi kuachaaNiwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi.
Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu anatekwa mpaka kuuawa polisi hawashtuki mpaka taarifa zitoke kwenye mtandao ndio wanaanza kuchukua hatua. Au Binti kubakwa na watu SITA bila polisi kugundua mpaka wananchi walipotoa taarifa mitandaoni kuhusu unyama ndipo polisi wakaanza upelelezi.
Kuna taarifa imeibuka ya kwamba ndugu Gerald Ibrahim mkazi wa Uvunza ametekwa na watu wasiojulikana na haijulikani yupo wapi maana hayupo kwenye custody ya polisi. Hii sio sawa , kazi ya polisi ni kulinda raia na Mali zake na sio kuwaumiza kwa ujinga wanazofanya .
Cha kusikitisha zaidi, Kuna watu wanatumia Ikulu kutapeli watu lakini polisi ipo kimya bila kuchukua hatua . Ni muda Sasa Polisi ifanye kazi yake, la sivyo Kuna watu watapata mwanya na kufanya uhalifu usipiopimika na ambao utashangaza watu wengi, Kama ilivyofanyika nchini Kenya kana shakahola au mauaji ya kawangware.
Jeshi la polisi mna nafasi ya kujirekebisha kabla hii Hali haijazoeleka na kuonekana ya kawaida.
Polisi ndio wanaoongoza kwa uhalifu...shida ya nchi hii waliopaswa kuwa wana usalama wapo uraiani ila wahalifu ndio wana usalamaNiwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi.
Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu anatekwa mpaka kuuawa polisi hawashtuki mpaka taarifa zitoke kwenye mtandao ndio wanaanza kuchukua hatua. Au Binti kubakwa na watu SITA bila polisi kugundua mpaka wananchi walipotoa taarifa mitandaoni kuhusu unyama ndipo polisi wakaanza upelelezi.
Kuna taarifa imeibuka ya kwamba ndugu Gerald Ibrahim mkazi wa Uvunza ametekwa na watu wasiojulikana na haijulikani yupo wapi maana hayupo kwenye custody ya polisi. Hii sio sawa , kazi ya polisi ni kulinda raia na Mali zake na sio kuwaumiza kwa ujinga wanazofanya .
Cha kusikitisha zaidi, Kuna watu wanatumia Ikulu kutapeli watu lakini polisi ipo kimya bila kuchukua hatua . Ni muda Sasa Polisi ifanye kazi yake, la sivyo Kuna watu watapata mwanya na kufanya uhalifu usipiopimika na ambao utashangaza watu wengi, Kama ilivyofanyika nchini Kenya kana shakahola au mauaji ya kawangware.
Jeshi la polisi mna nafasi ya kujirekebisha kabla hii Hali haijazoeleka na kuonekana ya kawaida.
Siyo kweli mkuu. Utekaji na mauaji haya yanafanywa kwa maagizo na maelekezo ya serikali. Na muasisi wa ushenzi huu ni jiwe.Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi.
Njaa na character ya mtu ni vitu ambavyo sio mutually exclusive..wajamaa ni wakatili, their hunger just revealed their true characterNi kweli kabisa , polisi wa nchi hii Wana njaa.
Kwa sasa wamebadiri mbinu,wanawaleta kwenye mto Ruaha mkuu huko karibi na crocodile camp Kuna kamgodi flani hivi kadogo ndo wajanja wanakuja kuwatupa huko ili ionekane ni mgogoro wa mgodiniKuna muda viroba ambavyo ndani yake kulikuwa na watu vilikuwa vinaokotwa mto Ruvu na Rufiji kipindi cha awamu ya tano..Najiuliza wale watu walikuwa ni majambazi au wananchi wa kawaida?
So Jiwe bado anaendelea kutoa maelekezo kutoka huko aliko na maagizo yake yanaheshimiwa ???!Siyo kweli mkuu. Utekaji na mauaji haya yanafanywa kwa maagizo na maelekezo ya serikali. Na muasisi wa ushenzi huu ni jiwe.