Hii screenshot ya huyu dada imekaaje ?!

Ni ujinga wa mwanamke mwenyewe kwanini alipanua majapa kwa mwanaume reckless.
 
Lakini wanawake mmezidi kuwafanya wanaume vitegauchumi.

Na hapa ndipo tatizo linapoanza.
 
Muuza ice mwenyewe alifake maisha yani nyie wakaka muogopwe
 
MApenzi ya mwanzoni ni moto
Ndiyo maana ma-single mother wanazidi kujaa. Sikiliza: huyo rafiki yako mwambie afanye maamuzi magumu aitoe hiyo mimba. Asitoe uchochoroni bali hospital nzuri chini ya dr mtaalam. Vinginevyo ajiandae kulea mtoto, na kama anaona ataweza basi asitoe. Ameanza kumdanganya tangu mwanzo huyo atamkimbia siku si nyingi.
 
Dah hii ni reality kabisa maisha hayana formular
 
Acha utoto
 
Nilikuwa najiuliza inakuwaje mtu anakubali kuolewa na mwizi😂. Ila mwizi wa kuiba TV jua tu hana maisha marefu.
 
Ila mabinti mna ujasiri, mtu mmejuana miezi minne tayari umembebea mimba, na kwao hupajui na kazi yake ni photographer wa kibongo (katika uongo wote kachagua hiyo ndiyo iwe profession yake 🤦‍♀️)

Saa nyingine matukio kama haya huwa mnastahili tu, acha huyo Medina naye ajifunze jambo, hatarudia huu ujinga!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…