Hii ndo shida ya kutanguliza pesa mbele kwenye mahusiano kabla ya kitu chochote Mallerina5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...
6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻
Wanawake wengi wanapenda mtu mwenye mafanikio, hivyo wanaoifahamu hiyo code wanatembea nayo.View attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu lake hajaona ata mia...
( redflag)
3.leo kafungiwa mwanaume kaiba tv ya vitron🤣..mwanaume akipenda ata kuiba ataiba akuleteee
Kuna siku kaiba mchanga mgodini
4..dada ana mimba ....maisha yao ya kuunganisha ...dah
Wanaume sio watu ila sio wote
5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...
6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....
Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
Dah 😂Wasiwasi ndio akili.
Wanawake cjui hua wana matatizo gn kichwani mwao aisee, mm Niliwah kuwa na girl akanambiaga namboa ety Sina hekaheka 😂Unaweza kukuta alimpenda pia Kwa sababu ni Bad boy.
MallerinaView attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu lake hajaona ata mia...
( redflag)
3.leo kafungiwa mwanaume kaiba tv ya vitron🤣..mwanaume akipenda ata kuiba ataiba akuleteee
Kuna siku kaiba mchanga mgodini
4..dada ana mimba ....maisha yao ya kuunganisha ...dah
Wanaume sio watu ila sio wote
5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...
6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....
Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
Hata sijui nacheka nini jamani.............. wanaume jamani khaaaa si angeiba ndala tuu tujue moja ni mdokozi basiUnakuta 43”
View attachment 3609987
Utakubali nikikuambia...Niambie
Msikie wangapi?We sema tusikie