Hii sawa jamani?

zawadi ya chupi hahahahaahah alisha mvua pichu huyo na ndo maana size ya kiuno haimpi shida kuijua
 
lol!!!! Ukiona manyoya Mkuu ujue....

Atakushirikisha kwa hizo zawadi lakini siku akinyonyolewa hatakushirikisha. Na huyo atanyonyolewa tu, it's just a matter of days.
 

Mkuu hapo huyo rafiki yako ndo anaongea hautakaa usikie akimwambia girl wako anamuomba papachu kwa message wala kwa kuongea nae uso kwa uso... zawadi ndo maneno yenyewe.... kuna siku atampa zawadi ambayo hata huyo girl wako hata kuambia na itakayomvua pichu na rafiki yako kufaudu papachu....
Zuia haraka "Ushemeji zima taa".... jamaa hana true definition ya friendship kwako
 


Nimekuelewa. Ushauri mzuri
 
mchizi kafanya maresearch akagundua mapungufu.nw anakulia tyming ukisafiri 2 ahamie kwak au mkeo ahamie kwake..Na usipo safiri kweny siku za usoni show tyme lazima ihusike..
 
mpaka nguo za ndani????huu ni upofu wa high degree....kaka tamu yako si yako peke yako
 
Siku huyo mchumba wako akiombwa papuchi hatakueleza pia ili asiwe chanzo cha kuvuruga urafiki wenu.
 
Yaani kweli Mapenzi niuwe hata huoni kasoro ?? kweli !! Ohoo GOD ....Mfungue huyu Mtu
 
Sasa hapo unahitaji College Degree kujua rafikiyo anakoelekea?
Tena kama una mkono wa birika ndio kabisaaaaa atambeba mchana kweupeeee!!!!
Thread nyingine Iko njiani,Anza ku compose tu!!
 
Yaani we jamaa sijui nikuweke katika fungu lipi, lakini ndo hivyo watu tunatofautiana, we endelea kusoma mchezo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…