Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,007
- 142,629
Nadhani ulikuwa usingizini. Zamani ulikuwa na mawazi supa. Au kuna NYANI NGABU tofauti na ninayemjua. Huu uandishi sio wako. Umeandikiwa?
Nani mwendawazimu? Watch your steps!...Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!
Kuna watu niliwaambia kuwa shirika la ndege TZ halina uwezo wa kuendesha hiyo Dreamliner kwa sasa. Watakula loss kila siku. Niliishia kutukanwa na kuitwa msaliti nisiependa maendeleo.
Hii ndege tukifika 2020 ikiwa ina operate bado nahama nchi.
Hahaaaaa nyie watu bana!
Ni wachache sana wenye uwezo wa kunielewa humu!
Man, mbona huwa unaeleweka sana tu. Uzuri wako panapohitaji pongezi, utapongeza, ukiona mambo hayapo shwari napo huwa haufi na tai shingoni, unaweka bayana dukuduku lako.
Tatizo kuna watu kama yuko upande flani anajifunga kitambaa abaki upande mmoja tu, mambo hayaendi hivyo.
Toka hapa!Wangeenda taratibu na hizo Bombardier.
Then shirika likikua ndo wanunue hayo ma Boeing na ma Airbus makubwa makubwa.
Oh well....tutaona.
mambo ya kuhojihoji ni usaliti awamu hii watch itKwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.
Ni jambo jema tu.
Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.
Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.
Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.
Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!
Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.
Hii serikali imechemka kabisa hapa!
No two ways about it.
Aende wapi sasa? we vip bana!!!!Toka hapa!
Mark your word mkuu usije kuyakataa maneno yako mwenyewe, ujue internet inaexcist foreverKuna watu niliwaambia kuwa shirika la ndege TZ halina uwezo wa kuendesha hiyo Dreamliner kwa sasa. Watakula loss kila siku. Niliishia kutukanwa na kuitwa msaliti nisiependa maendeleo.
Ni bora tungenunua hata vijet viwili vitatu tukamake kwanza faida kuliko kununua mdege mkubwa unaupaisha kwa gharama alafu abiria ni wachache.
Hatujajenga credibility kwenye aviation sector hatuwezi kupata wateja kirahisi ilibidi tujijengee kwanza ili na sisi tuweze kupata soko kimataifa sio kuingia tu sokoni kisa wenzio wamo.
Hii ndege tukifika 2020 ikiwa ina operate bado nahama nchi.