Hii sasa ni kali kuhusu Advocate Mwale

Hii sasa ni kali kuhusu Advocate Mwale

BABU CHONDO

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
855
Reaction score
139
Ni baada ya kukaa ndani kwa zaidi ya mwaka mmoja Wakili Mwale anaachiwa na Mahakama kudai alifunguliawa kesi kimakosa, drama za Bongo hawakuyajua haya muda wote?
 
Mkuu funguka zaidi kidogo tuelewe

Kama utakumbuka wakili mwale alikuwa na kesi ya pesa chafu na alikamatwa na kuswekwa lupango kwa zaidi ya mwaka sasa bila dhamana
Ilikuwa iki husisha billion of money na sasa imegeuzwa na kuonekana alifunguliwa kesi kimakosa.
 
Ina maana tayari yupo nje? Nakumbuka mahakama iliagiza arudishiwe magari yake polisi wakakomaa
 
Ni baada ya kukaa ndani kwa zaidi ya mwaka mmoja Wakili Mwale anaachiwa na Mahakama kudai alifunguliawa kesi kimakosa, drama za Bongo hawakuyajua haya muda wote?
Waliambiwa wasimguse.masihiwa Mungu wakachanganyikiwanaxile helakwenye garii ... shame n them
 
Thx del somuch
Huyu jamás simujui Ali
Nilimkutanarafiki wadadayanguu aisee alintoakimaisha sana niliposikiakafungwa nilisalisana nkaonakimya. Nahisi nimelalankaota familiayakeinarukarukasana ikabidiniulizie jf posnyake

AKAWEHURU N JESUS NAME
 
hahaha, mkuu umenifurahisha
 
huyu mtu alikua akitoa kanisani mil 30 cash kama mchango
 
ni ni 30.--50mil kwanini asitoke

mpwa huyu jamaa ako.i.once visited hisofice nkaona ana mlango wa kutokea wa dharura. i asked myself huyu ni wakili wa namna gani mwenye ofisi yenye pavement ya kutorokea once kikinuka?? something was not right.
 
Ni baada ya kukaa ndani kwa zaidi ya mwaka mmoja Wakili Mwale anaachiwa na Mahakama kudai alifunguliawa kesi kimakosa, drama za Bongo hawakuyajua haya muda wote?

Hujui sheria wewe bora unyamaze.kuna mtu kafungwa miaka 30 kamaliza anaambiwa alifungwa kimakosa..katika sheria,kosa moja katika mchakato wa kumkamata,kuhoji,kupekua,kusweka rumande hatimaye mahakamami linaweza kumfanya mshtakiwa awe huru.
 
mpwa huyu jamaa ako.i.once visited hisofice nkaona ana mlango wa kutokea wa dharura. i asked myself huyu ni wakili wa namna gani mwenye ofisi yenye pavement ya kutorokea once kikinuka?? something was not right.

Hahaaaakile nichumba chamaombezi mpwa usiogope
 
Back
Top Bottom