Hii sare ya Askari anayemlinda Rais Magufuli ni ya jeshi gani katika majeshi ya nchi yetu?

Kama kweli yeye ni mtetezi wa wanyonge na kimbilio la maskini, ulinzi wote huo wa nini.
kwa sababu wanaotunyonya na kufaidi mema ya nchi hii hawataki tutetewe, wanapenda keki ya taifa hili wale wenyewe. Mungu ibariki Tanzania yangu, Mungu mlinde raisi wa Tanzania na kumuongezea hekima.
 
Kwa mtu asiyeelewa dhana nzima ya uongozi wa kiraia wa nchi ya kidemokrasia yenye amani unavyokuwa ni rahisi kuchanganya swali langu na uoga.

Nimeuliza, nchi inayoitwa "kisiwa cha amani" ma bunduki makubwa wazi wazi ya nini?

Au wanawaoogopa wa Kibiti?

Na kama hivyo, nani muoga? Mimi au wao?

Au kuna jitihada za wazi za kupandikiza hofu kisaikolojia miongoni mwa wananchi?

Sijaona jibu.
ww n ndo muoga
 
Majibu unayo, hao wanaotungua polisi kwenye magari huoni ni watu hatari kwa usalama wa rais au unauliza ili ujibiwe nini? Katika msongamano kama tahadhari lazima iwe kubwa huwezi jua, hata Marekani kama kuna tishio lolote la kigaidi lazima ulinzi uwe imara mkuu.
 
Kuna uhusiano gani kati ya hizo hatua za mimi from child hood to adult na hizo bunduki?
Huuoni? Kama huuoni nadhani hujui hata umuhimu wa uwepo wa huyo anayelindwa, na kama ni hivyo hata hukutakiwa kutegemea chochote toka kwao kiwe +/- kwakuwa hakipo.
 
Back
Top Bottom