Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,844
- 95,795
HahahahahahahaHili ni jukwa la SIASA sio jukwaa JESHI. Ukizitia jeshi halifungamani na siasa.
Mimi mwenyewe mgeni
HahahahahahahaHili ni jukwa la SIASA sio jukwaa JESHI. Ukizitia jeshi halifungamani na siasa.
Mimi mwenyewe mgeni
Ni Presidential Service Unit (PSU) na Si Guard (PSG)Presidential Protection Guard..ndio sare zao
View attachment 533600 View attachment 533600
Wakuu aina hii ya sare (uniform) sijawahi kuiona katika moja ya majeshi ya Tanzania.Kuanzia polisi,JWTZ,Mgambo wala kwingineko.Je naweza kufahamishwa aina hii ya sare ni mpya kwa majeshi yetu au?
Kama si mpya;Je aina hii ya sare huvaliwa na kikosi gani cha ulinzi hapa Tanzania?Hawa jamaa nimewaona leo wakimlinda Rais pale Saba saba na silaha nzito nzito za moto.Tupeane maarifa
Tu banTetetetete true boy.
Swissme
Napataje hii kazi jamani!
Sasa hayo waliyovaa yanaendana na ardhi na uoto wetu? Napendekeza hao raia wawe wanapelekwa jeshini kwanza kisha ndio waendelee na mafunzo yao ili wanapo hitajika kuvaa bakabaka wavae bakabaka tunazozijua haya mambo ya mheshimiwa kulindwa na wanyarwanda yasingekuwepo #maendeleo hayana chamaHabari Mkuu. Hiyo sare maalum huwa inavaliwa sana na walinzi wa Ikulu. Hao hawatoki kihovyo hovyo, ila hutumika pale ambapo intellijensia imehisi kunaweza kutokea tatizo. Ama, wamehisi timu ya ulinzi inaweza isitosheleze kutokana na wingi wa watu au sababu nyingine yeyote.
Lakini hilo lisikupe shida, wanajeshi wana sare nyingi sana kutokana na eneo. Mfano, endapo vita inafanyikia jangwani, huwezi kujipeleka na lisare lako la mabaka ya kijani. Utadunguliwa mchana pee!. Kuna mavazi kutokana na eneo husika la mapigano.
Wakilinda makomandoo wakazidiwa nani atakuja kuokoa jahazi?Hao jamaa kwanini watumika kulinda Ikulu na si makomandoo wa JWTZ, inamaana hao ni hatari zaidi?
Hivi haya mambo ya mtu yule kulindwa na wanyarwanda ni ya kwel?Sasa hayo waliyovaa yanaendana na ardhi na uoto wetu? Napendekeza hao raia wawe wanapelekwa jeshini kwanza kisha ndio waendelee na mafunzo yao ili wanapo hitajika kuvaa bakabaka wavae bakabaka tunazozijua haya mambo ya mheshimiwa kulindwa na wanyarwanda yasingekuwepo #maendeleo hayana chama
Sio kwa sababu ya mgawanyo wa majukumu???Wakilinda makomandoo wakazidiwa nani atakuja kuokoa jahazi?
Hapaana, mpaka sasa mioyo yetu watanzania imesuunzika kiasi ina furahaVipi kuna mwenye maswali mpaka sasa?