Kwakweli huyu inabidi mumfungie CCTV mwili mzima. Halafu na hizi surprise tena zilizoibuka ngachokaMdogo wangu huyu, tulifikia mpaka kwenda polisi kutangaza amepotea tukidhani ametekwa, ila polisi wakatuhakikishia kwamba kitengo chao cha utekaji kimepumzika kwa sasa.
Leo ndo anaibuka na kusema yuko Bunju kwenye surprise.
Ila wake wengine riziki bwana.. sisi tumeshazoea sapuraizi za kufumwa na meseji za michepukoHa ha ha h hyo tafsir usikutane na michezo y pesa pesa ndio utaijua vzur
Jirani nilikua naota tu si unajua tena ndoto zetu hizi hazina maanaJirani we sio wa kunifanyia hivyo bana..Badala ya kunifariji unaweka ka la moto kwenye kidonda
Na nyie hamchelewi kutuletea vimada,huyo ukimletea ya kuleta anasepa kwenye nyumba yake.Au kwenye uchumba wenu kuna kitu alikstukia akaaza kujipanga.Mdogo wangu huyu, tulifikia mpaka kwenda polisi kutangaza amepotea tukidhani ametekwa, ila polisi wakatuhakikishia kwamba kitengo chao cha utekaji kimepumzika kwa sasa.
Leo ndo anaibuka na kusema yuko Bunju kwenye surprise.
Kwakweli huyu inabidi mumfungie CCTV mwili mzima. Halafu na hizi surprise tena zilizoibuka ngachoka
haha mi safie kabisa... mambo mambo tu yanabanaPoa bro..Mambo vipi..Umekua adimu
Mkuu hiyo ni kauli ambayo aliitoa yeye..Lakini kiuhalisia nyumba ni yake..Tafsir ya nyumba yenu ni ipi hapo mkuu?
Kiwanja mlinunua pamoja then akajenge yeye bila kukwambia au ikikamilika mtakuwa na hat ya pamoja
Au tafsir ya Nyumba yenu ni ina umiliki wake ila mtakaa pamoja?
Bas mkuu fata ushaur wa dada yako miss chaga pangishen nyumba then uanze kujenga nyengne utakuwa na aman zaidMkuu hiyo ni kauli ambayo aliitoa yeye..Lakini kiuhalisia nyumba ni yake..
Wanawake wa sasa huwezi ukawalinganisha na mama zetu wa zamani walikuwa wanavumilia mpaka kifo.Muulize tu kwa nini hakukushirikisha?Na nyie hamchelewi kutuletea vimada,huyo ukimletea ya kuleta anasepa kwenye nyumba yake.Au kwenye uchumba wenu kuna kitu alikstukia akaaza kujipanga.
Ha ha ha ha mie ukifunga kitambaa najua unaenda kunigonganisha na michepuko yangu stak kusikia habar za sapuraizi kabisaIla wake wengine riziki bwana.. sisi tumeshazoea sapuraizi za kufumwa na meseji za michepuko
Fuatilia ujenzi ulianza lini!!!
Sioni kibaya hapo mkuu!!! Nimeipenda hii sapraiziiii! Ntamfanyia hubby na mimi!!!
Tehteh hizo sapu raizi ni kuwaachia kina Kaboom bwana. unaweza fungwa kitambaa ukashangaa upo Matako Bar kwa wale vigor wa kidogo kujibu mashtaka.Ha ha ha ha mie ukifunga kitambaa najua unaenda kunigonganisha na michepuko yangu stak kusikia habar za sapuraizi kabisa
Ahaa acha kabisa hyo michezo nshaikataa maana najijua kabisa usikute kapewa profile mahala huko sasa kisapraise unaenda kuumbuka hzo za nyumba nawaachia wenyeweTehteh hizo sapu raizi ni kuwaachia kina Kaboom bwana. unaweza fungwa kitambaa ukashangaa upo Matako Bar kwa wale vigor wa kidogo kujibu mashtaka.
Ama kweli wake wanatofautiana
Aisee,,,Fuatilia ujenzi ulianza lini!!!
Sioni kibaya hapo mkuu!!! Nimeipenda hii sapraiziiii! Ntamfanyia hubby na mimi!!!