Hii pressing ya TRA Kudai Kodi sijawahi kuiona

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,532
Reaction score
11,709
Sikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na Raia.

Leo nmeshangaa Sana wamama wanaokimbilia ndani huku wakifunga biashara zao wakitoa matusi ya nguoni Kwa Daktari Samia wakidai deni la taifa linawatesa wao na hawajafaidika na hizo pesa zilizokopwa.

2025 ngumu Sana hii, halimbaya mtaani.
 
Lipeni Kodi, Rwanda hadi wa Brush viatu wanalipa kodi, Watanzania mnataka free sana
 
Sikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na Raia.

Leo nmeshangaa Sana wamama wanaokimbilia ndani huku wakifunga biashara zao wakitoa matusi ya nguoni Kwa Daktari Samia wakidai deni la taifa linawatesa wao na hawajafaidika na hizo pesa zilizokopwa.

2025 ngumu Sana hii, halimbaya mtaani.
samiha out.
 
Wacha wajipange mapema,
Nasikia baadaya ya no reform no election.
watu wanakuja na NO TAX
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom