Hii Picha.....

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,210
Reaction score
13,049
Kila mtu ameweka pozi lake.



1. JK amedakwa Mkono na Bi. Shosti hapo. Kama vile anagulia maumivu ya kudakwa vile.
1a. Bi Shosti ni kama vile anamwambia "you look so cute and energetic Mr Kikwee"
1b. JK ni kama vile anamjibu "Hehehehehehe, senkyu vere machi, i love you too"
2. Upande wa Kushoto hapo Mzee kaona isiwe tabu na yeye kaudaka mkono wa Mmama pembeni yake.
3. Upande wa kulia Magufuli na Genge lake ni kama wanamwambia JK, Mkumbatie umbusu ameshaingia laini.
4. Bi Shosti mwenye Magamba (Sori nguo za Kijani) ni kama vile anatamani angelikuwa yeye anashikana mkono na JK.
5. Mzee jirani na Bi Shosti wa Magamba ni kama vile anasema "Mwee Urais mtamu asikuambie mtu"


Mapendo.
TANMO
 
Hivi hawa wanaovaa unifomu za CCM katika shughuli za serikali wana akili gani?

 
Hivi hawa wanaovaa unifomu za CCM katika shughuli za serikali wana akili gani?

Kipenda roho hula nyama mbichi,wasamehe kwani hawajui tofauti ya tui la nazi na maziwa hata kama ukiwaonjesha watakwambia hakuna tofauti.
 
Hivi hawa wanaovaa unifomu za CCM katika shughuli za serikali wana akili gani?

wanaovaa manguo ya kijani kwenye mambo ambayo si ya kichama ni kwamba ni wanafiki wanajipendekeza wao waonekana kama wapigania chama cha magamba kuliko wengine, ili wapendelewe na mkuu. lakini ni watu ambao hawajui utendaji wa kazi, wavivu na wala rushwa, angalia tu matumbo yao yalivyokaakaaa, makubwaa yamejaa ....;jljkdfa tu ndani humo. ugali tu umejaa matumboni humo, watachukuliwa hadi wake zao kwa vitambi.
 
Ni ajabu sana, kila alipo kiongozi wa juu watu waliomzunguka wanakuwa na matabasamu yasio ya lazima. Wanalazimishwa nini?
 
ili hata wale wasio na uwezo wa kujua wanafiki wasishindwe kuwajua
 
Hivi hawa wanaovaa unifomu za CCM katika shughuli za serikali wana akili gani?

kwenye kampeni za majuu wengi walikuwa wana peperusha bendera ya marekani....uku sasa ndio kama hao wajinga hapo juu......wamafikiria kujipendekeza kila wakati wapate ukuu wa wilaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…