Hii Picha ya Spika vipi?

Gurudumu

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2008
Posts
2,349
Reaction score
264


Ndiyo picha inayomtambulisha spika wa Bunge la Tanzania kwenye tovutu rasmi ya Bunge
 
thank you kwa ku-share picha ya spika.... unataka kuwa MUUMBA?
 
Hii picha ni tatizo as nywele zimechakachuliwa sana kuondoa uafrica
Anaonekana less Afro kichwani kwa hiyo minywele
spika alikua kapiga wigi, lakini nafikiri shida ni mtu alo-crop hiyo pic.
 
Kichwani kavaa nini? kofia ya kuogea?
 
aISEE UTAFIKIRI KAFA HANA NYINGINE ZAIDI YA HII HAPA NAPO VIPI WAZEE...
 
<table class="tr-caption-container" style="margin-left: auto; margin-right: auto; text-align: center;" align="center" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="text-align: center;"> </td></tr> <tr><td class="tr-caption" style="text-align: center;"> Aliyekuwa katibu mkuu Wa CCM mzee Yusuph Makamba</td></tr></tbody></table>
 



hawa viongozi wa ccm vp+sura zao km vile wanasikia kichefuchefu,wana undugu na GBAGBO?:bored:
 
aah umenifurahisha, umeniwekea picha ya mfugaji wa kuku
 
Hiyo nundu inaashiria nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…