Hii Picha ya Spika vipi?

Me naona swala la picha sio swala la msingi cha maana ni utendaji wa kazi. Atakama avae wigi la plastic ili mradi tu! Afanye kazi kwa ufanisi.
 
Angalia vizuri mkuu wameichakachua kwa kutumia photoshop wakaiharibu
Gurudum, kama unaijua photoshop, pale hakuna kazi yoyote ya photo shop, pichas imepigwa na amacha, aliyecrop amecrop vibaya. Thats all.
Ukumbuke picha hizo, wabunge hupiga wenyewe na kuzipeleka ofisi ya bunge. Maadam sasa ni spika, naamini soon atapiga profile nyingine kuendana na hadhi yake ya sasa.
 
Back
Top Bottom