Hii picha ya Mbowe inafikirisha sana! Usimuamini mtu

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,923
8,314
20200525_110837.jpeg

Ni Mbowe yupo na wanandoa wawili yaani Suzanne Maselle na mume wake
 
Hii ni kweli?
Ni kweli Steve Nyerere na Nsndy wanatumiwa kuandaa hizo sauti, pale oysterbay, wameanza rehersal siku nyingi, watazituma mitandaoni.
Pia wana andaa muvi kama ile ya Gwaji boy, Mbowe akiwa na Mbung mmoja simtaji, wa viti maalum aliyehama.
 
HABARI HIZI NI ZA KWELI KWA 100% na itakuwa ni ujinga km hiyo Audio wanaendelea kuitoa ili waisambaze
Siasa hazienani hivi jamani
 
HABARI HIZI NI ZA KWELI KWA 100% na itakuwa ni ujinga km hiyo Audio wanaendelea kuitoa ili waisambaze
Siasa hazienani hivi jamani
Watanzania wengi ni WAJINGA maana CCM imeanyima ELIMU BORA na kuwapa BORA-ELIMU, watapewa clip, itatangazwa na media zao, watatumia WASAFI TVNA CLOUDS kumchafua Mbowe, mbowe atakosa JUKWAA LA KUKANUSHA, inapita na wapumbavu wanabaki kuamini, kama walivyo aminishwa korona haipo.
 
Kama nyie mnavyo Amin kua hajapiga hela watanzania wote wajinga sema ujinga unatofautiana
Watanzania wengi ni WAJINGA maana CCM imeanyima ELIMU BORA na kuwapa BORA-ELIMU, watapewa clip, itatangazwa na media zao, watatumia WASAFI TVNA CLOUDS kumchafua Mbowe, mbowe atakosa JUKWAA LA KUKANUSHA, inapita na wapumbavu wanabaki kuamini, kama walivyo aminishwa korona haipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hata kwa hili mnataka kumtetea chairman km mlivyomtetea kipindi kile kwa wema sepetu
MM sio Mkiti wangu maana sipo Kisiasa, kwani hao kina Mama mbona nao wamechukuliwa kisiasa weka hapa madudu waliyoyafanya kwenye Night Club
una-base upande mmoja km sio binadamu ndio nachoshindwa kukuelewa kuishusha JF tumekuwa watu wa majungu, mwisho hatutaaminika kulinganisha na mitandao mingine
tuwe wakweli
 
Inasemekana hapo Lumumba vijana wameabandikiwa tangazo kwenye notice board kuwa wakiandika habari yoyote mbaya na kuihusisha na neno "Mbowe" zaidi ya mara 3000 per day wanalipwa buku 7 na miatano.

Yaani kuna ongezeko la miatano kwenye malipo ya task ya leo.
 
Huu ni uwongo, turudi kwenye swali unazichukuliaje tabia za chairman ?
Inasemekana hapo Lumumba vijana wameabandikiwa tangazo kwenye notice board kuwa wakiandika habari yoyote mbaya na kuihusisha na neno "Mbowe" zaidi ya mara 3000 per day wanalipwa buku 7 na miatano.

Yaani kuna ongezeko la miatano kwenye malipo ya task ya leo.
 
Inasemekana hapo Lumumba vijana wameabandikiwa tangazo kwenye notice board kuwa wakiandika habari yoyote mbaya na kuihusisha na neno "Mbowe" zaidi ya mara 3000 per day wanalipwa buku 7 na miatano.

Yaani kuna ongezeko la miatano kwenye malipo ya task ya leo.
Na kupewa vyeo, na wameahidiwa kujiunga tisi, yaani kila wakilala wakiamka wanamuwaza Mbowe, bora hata Billcanas ilivunjwa kwa dhuluma maana LUMUMBA wangeweza ichoma na watu ndani basi tu kumkomoa Mbowe
 
Chairman Mbowe
ana tabia nyingi:
1. Anajua Kingereza, wengine hawajui na wanakwepa mikutano ya kimataifa.
2.Ana diplomasia na kujua namna ya kuongea na hadhara, wengine wanafikir wanagombeza familia zao.
3. Haongeki/ kununulika, wengine wananunulika.
4. Hali wala hatoi rushwa, wengine wanagawa chashh fedha na matunda barabarani kinyume na kanuni za utumishi na protocal, lazma kila hela inayotoka isemwe imetoka wapi.

5. Hana ukabila wengine wana ukabila, wamejaza kwenye ofisi watu wa kwao mpaka mfagizi.
6. Mkweli, alisema mwanaye ana Corona na kuomba watu wajikinge kwakuwa anawapenda lakini mwengine mwanaye aliupata akatuficha , na kusema tuchape kazi, means tufe tu.

7. anajua kuvaa, mwengine kachekwa na Idirisi , kakasirika, hajui kuvaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom