Maotea ya jeshiUchipukizi ndio ushenzi gani?
Hahahaha uwiiiiHalafu nasikia watoto wake huko shule ndo wanaongoza kwa kuwa wachafu yani wanatoka nyumbani wachafu balaa.. Jamaa nadhani hata yeye atakua mch...
Mheshimiwa yupo JF kwa ID hii HKingwangallandio maana viongozi hawaji kujitambulisha huku JF,this is too low.... 😎😎
Anatembeaje sasa hivyo?Kiukweli najua wengine wataona sieleweki ila kutokana na tabia ya huyu mheshimiwa,jinsi anavyojichukuliaga kama bonge la star na mchapakazi hodari,nikiona hii pic nacheka sana,yaani hapo deep inside anajiona amiri jeshi mkuu akikagua masoja wake walahi
nikukmbuka ile instagram post View attachment 689805 akijibishana na mtu aliyemuita fisi yeye waziri mzima akamjibu kwa kumuita we ni mbweha,nikikumbuka kile kidaftari pale getini wizara ya afya,sakata la dr mwaka,nikikumbuka suggestion ya kutumia warembo huko utalii,plus kiki za juzi za ile press conference na ule mkutano wa Tokyo japan pale Rais kikwete alipotoka nje ya ukumbi kidogo,bwana Hamis akakalia kiti kwa dakika 27 na kutweet jinsi alivyokuwa Rais wa nchi kwa dk 27 nafurahi sana ,nikiunganisha na hiii picha basi ni buruuudanii toshaaaaaaa.
Certificate of bad conduct inamhusuCheka kidogo uongeze siku za kuishi mkuu
![]()
Active kwenye kukufanyajeUzi wa majungu kama kawaida ya waafrika hasa wanapomwona mwenzao anachapa kazi na kufanikiwa zaidi. Huyu jamaa yupo active sana ndo aina ya watu wanaohitajika kwenye hii wizara
Kwa maneno mengine unashauri somo la urai lifutwe kwenye shule za msingi na sekondari. Yaani ninyi ndiyo mnajinasibu mna akili kubwa na mkabidhiwe madaraka ya nchi!!! Nazidi kuamini CCM itashinda kwa zaidi ya kura milioni 17 kwenye uchaguzi wa 2020. Maana hakuna tena vyama shindani vyema rasilimali watu makini.Kumbeee!!! Lakini hao 15yrs si ni watoto?? Wanatakiwa wasome! Kwanini wamezeshwe itikadi za vyama
Daa falsafa mpya hiiUkuaji wa mwili wa binadamu kiakili na kimwili huenda sambamba na umri na mazingira.Nahisi mazingira waliyokulia mteule na wateuliwa yana athari nyingi kwenye utekelezaji wao juu ya upya wa vitu kutokana na maendeleo ya teknolojia na sayansi yake ambao haukuwepo hapo awali na ufahamu na mwamko wa jinsi ya kukabiliana navyo. Lengine ni ndoto na matamania katika makuzi yao.
Kama unaamini hivyo basi akili zako ni za kitumwa na unamtindio wa mawazo maana mwili wowote ule bila kujali wa mwafrica, mzungu, mbwa, fisi , nyau kenge, ng'ombe nk., kadri unavyokua ('age'...as part of ageing process) ubongo kama sehemu nyingine ya mwili inapoteza uwezo wake wa mwanzo, ndio maana akili ya mtoto inauwezo mkubwa sana wa kushika mambo mengi kuliko wa mtu mzima yeyote bila kujali rangi ya ngozi yake...acha uji'nga wa kuamini tafiti zilizo katika mlengo wa ubaguzi wa rangi (na kumkandamiza mtu mwenge ngozi yenge rangi ya rutuba) na ww unaushadadia kama zo.b.a!Tafiti zilizofanywa na wabobezi wa afya ya akili zinathibitisha pasina na shaka kuwa baadhi ya Waafrica kadri wanavyozidi kukua akili zao zinadumaa. Sio wote lakini wengi wao.
Na hili linajidhihirisha kwenye utendaji wa viongozi na wateule wetu wengi. Kingwangala ni mfano mzuri wa Waafrica ambao kadri umri unavyokwenda wanazidi kuwa na akili za ki-nabii Tito
Kiukweli najua wengine wataona sieleweki ila kutokana na tabia ya huyu mheshimiwa,jinsi anavyojichukuliaga kama bonge la star na mchapakazi hodari,nikiona hii pic nacheka sana,yaani hapo deep inside anajiona amiri jeshi mkuu akikagua masoja wake walahi
nikukmbuka ile instagram post View attachment 689805 akijibishana na mtu aliyemuita fisi yeye waziri mzima akamjibu kwa kumuita we ni mbweha,nikikumbuka kile kidaftari pale getini wizara ya afya,sakata la dr mwaka,nikikumbuka suggestion ya kutumia warembo huko utalii,plus kiki za juzi za ile press conference na ule mkutano wa Tokyo japan pale Rais kikwete alipotoka nje ya ukumbi kidogo,bwana Hamis akakalia kiti kwa dakika 27 na kutweet jinsi alivyokuwa Rais wa nchi kwa dk 27 nafurahi sana ,nikiunganisha na hiii picha basi ni buruuudanii toshaaaaaaa.