Hii picha ya Kigwangwala inanichekesha sana

Tafiti zilizofanywa na wabobezi wa afya ya akili zinathibitisha pasina na shaka kuwa baadhi ya Waafrica kadri wanavyozidi kukua akili zao zinadumaa. Sio wote lakini wengi wao.
Na hili linajidhihirisha kwenye utendaji wa viongozi na wateule wetu wengi. Kingwangala ni mfano mzuri wa Waafrica ambao kadri umri unavyokwenda wanazidi kuwa na akili za ki-nabii Tito
 
Huyu jamaa ni huwa ni wenge musical.. Maana so kwa Yale mawenge...kuna ile picha amekamatwa na polisi kutoka kichakani wamemshika Tanganyika jeki.
do picha ipi, naiomba embu nicheke niongeze siku,i post aiseee,lini hiyo au akiwa mwanafunzi wa chuo?
 
Cheka kidogo uongeze siku za kuishi mkuu
3955ae15be909e5a8bbba31dc74c4bce.jpg
 
Uzuri alipita JKT na mafunzo ya uchipukizi chamani ....! Utakiwi kuwa na wasi wasi naye.
 
Kiukweli najua wengine wataona sieleweki ila kutokana na tabia ya huyu mheshimiwa,jinsi anavyojichukuliaga kama bonge la star na mchapakazi hodari,nikiona hii pic nacheka sana,yaani hapo deep inside anajiona amiri jeshi mkuu akikagua masoja wake walahi
nikukmbuka ile instagram post View attachment 689805 akijibishana na mtu aliyemuita fisi yeye waziri mzima akamjibu kwa kumuita we ni mbweha,nikikumbuka kile kidaftari pale getini wizara ya afya,sakata la dr mwaka,nikikumbuka suggestion ya kutumia warembo huko utalii,plus kiki za juzi za ile press conference na ule mkutano wa Tokyo japan pale Rais kikwete alipotoka nje ya ukumbi kidogo,bwana Hamis akakalia kiti kwa dakika 27 na kutweet jinsi alivyokuwa Rais wa nchi kwa dk 27 nafurahi sana ,nikiunganisha na hiii picha basi ni buruuudanii toshaaaaaaa.
Ss hapo ungeweka na ile ya zamani aliyokamatwa tanganyika jeki na afande baada ya kuanzisha mgomo wp sijui ile ndo unge injoi zaidii..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji102] [emoji102] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13]
 
Kiukweli najua wengine wataona sieleweki ila kutokana na tabia ya huyu mheshimiwa,jinsi anavyojichukuliaga kama bonge la star na mchapakazi hodari,nikiona hii pic nacheka sana,yaani hapo deep inside anajiona amiri jeshi mkuu akikagua masoja wake walahi
nikukmbuka ile instagram post View attachment 689805 akijibishana na mtu aliyemuita fisi yeye waziri mzima akamjibu kwa kumuita we ni mbweha,nikikumbuka kile kidaftari pale getini wizara ya afya,sakata la dr mwaka,nikikumbuka suggestion ya kutumia warembo huko utalii,plus kiki za juzi za ile press conference na ule mkutano wa Tokyo japan pale Rais kikwete alipotoka nje ya ukumbi kidogo,bwana Hamis akakalia kiti kwa dakika 27 na kutweet jinsi alivyokuwa Rais wa nchi kwa dk 27 nafurahi sana ,nikiunganisha na hiii picha basi ni buruuudanii toshaaaaaaa.
Hawa ndio madaktari bwana. Wakiletewa file la kufanyia operation mguu wao wanapasua kichwa. Mungu samehee tu.
 
..nami nakumbuka jinsi alivyoapa kukabiliana na James Delicious...
 
Back
Top Bottom