Hii picha ya Kigwangwala inanichekesha sana

Kiukweli najua wengine wataona sieleweki ila kutokana na tabia ya huyu mheshimiwa,jinsi anavyojichukuliaga kama bonge la star na mchapakazi hodari,nikiona hii pic nacheka sana,yaani hapo deep inside anajiona amiri jeshi mkuu akikagua masoja wake walahi
nikukmbuka ile instagram post View attachment 689805 akijibishana na mtu aliyemuita fisi yeye waziri mzima akamjibu kwa kumuita we ni mbweha,nikikumbuka kile kidaftari pale getini wizara ya afya,sakata la dr mwaka,nikikumbuka suggestion ya kutumia warembo huko utalii,plus kiki za juzi za ile press conference na ule mkutano wa Tokyo japan pale Rais kikwete alipotoka nje ya ukumbi kidogo,bwana Hamis akakalia kiti kwa dakika 27 na kutweet jinsi alivyokuwa Rais wa nchi kwa dk 27 nafurahi sana ,nikiunganisha na hiii picha basi ni buruuudanii toshaaaaaaa.
Hahahaaa hahaaahaaaa. Kigwangala atakua Msenegal huyu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cheka kidogo uongeze siku za kuishi mkuu
3955ae15be909e5a8bbba31dc74c4bce.jpg
Inaezekana Alichafua mazingira hko kichakani asee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]
 
Kiukweli najua wengine wataona sieleweki ila kutokana na tabia ya huyu mheshimiwa,jinsi anavyojichukuliaga kama bonge la star na mchapakazi hodari,nikiona hii pic nacheka sana,yaani hapo deep inside anajiona amiri jeshi mkuu akikagua masoja wake walahi
nikukmbuka ile instagram post View attachment 689805 akijibishana na mtu aliyemuita fisi yeye waziri mzima akamjibu kwa kumuita we ni mbweha,nikikumbuka kile kidaftari pale getini wizara ya afya,sakata la dr mwaka,nikikumbuka suggestion ya kutumia warembo huko utalii,plus kiki za juzi za ile press conference na ule mkutano wa Tokyo japan pale Rais kikwete alipotoka nje ya ukumbi kidogo,bwana Hamis akakalia kiti kwa dakika 27 na kutweet jinsi alivyokuwa Rais wa nchi kwa dk 27 nafurahi sana ,nikiunganisha na hiii picha basi ni buruuudanii toshaaaaaaa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] et anajiona amiri jeshi

Wabongo hawana dogo
 
hahahahahahahahaaaaaaa jamaaanii maisha haya, kwa nyuma kulia kule kuna mshkaji wake kabinuka kwenye matuta hoiiii makalio juuu, sijui mheshimiwa kigwa anamkumbuka jamani ampe hata ulaji huko kwenye wanyama anaowasimamia?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mi nkajua mh. Ndo kamkata mtama jamaa kazimia ndo ikapelekea kukamatwa kwake
 
Halafu nasikia watoto wake huko shule ndo wanaongoza kwa kuwa wachafu yani wanatoka nyumbani wachafu balaa.. Jamaa nadhani hata yeye atakua mch...
Atakuwa mchafu balaa
 
Kiukweli najua wengine wataona sieleweki ila kutokana na tabia ya huyu mheshimiwa,jinsi anavyojichukuliaga kama bonge la star na mchapakazi hodari,nikiona hii pic nacheka sana,yaani hapo deep inside anajiona amiri jeshi mkuu akikagua masoja wake walahi
nikukmbuka ile instagram post View attachment 689805 akijibishana na mtu aliyemuita fisi yeye waziri mzima akamjibu kwa kumuita we ni mbweha,nikikumbuka kile kidaftari pale getini wizara ya afya,sakata la dr mwaka,nikikumbuka suggestion ya kutumia warembo huko utalii,plus kiki za juzi za ile press conference na ule mkutano wa Tokyo japan pale Rais kikwete alipotoka nje ya ukumbi kidogo,bwana Hamis akakalia kiti kwa dakika 27 na kutweet jinsi alivyokuwa Rais wa nchi kwa dk 27 nafurahi sana ,nikiunganisha na hiii picha basi ni buruuudanii toshaaaaaaa.
Kwamba Kingwangalla ni Rais mstaafu wa Awamu ya nne aliyeongoza kwa dk 27.....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa mtu kaanza kusoma ma abott, mikate ile ya vine and rees, ma titration, ma di section yoote kayaweka kichwani unatarajia nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
BS, Nelkon,.....
 
Hawa ndio madaktari bwana. Wakiletewa file la kufanyia operation mguu wao wanapasua kichwa. Mungu samehee tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni vijana wa kuanzia umri wa miaka 7-15 nadhani wanaondaliwa na UVCCM kwa ajili ya kuwa wazalendo wa kweli kuazia fikra, maneno na matendo yao kwa Nchi yetu ya Tanzania na pia kuwa askari wa kisiasa wa CCM.
Kumbeee!!! Lakini hao 15yrs si ni watoto?? Wanatakiwa wasome! Kwanini wamezeshwe itikadi za vyama
 
Mbona anatembea kizembe? Kwa mliopitia jeshini mtakuwa mmeelewa.
ha ha huyo mwenye kitambi yuko stable hata hatua zake zinaeleweka ila mh yuko anatembea kama yuko usingizini
 
Mburula mwingine huyu! Elimu yake inatia shaka. Phd UCHWARA nyingine hii.

Kiukweli najua wengine wataona sieleweki ila kutokana na tabia ya huyu mheshimiwa,jinsi anavyojichukuliaga kama bonge la star na mchapakazi hodari,nikiona hii pic nacheka sana,yaani hapo deep inside anajiona amiri jeshi mkuu akikagua masoja wake walahi
nikukmbuka ile instagram post View attachment 689805 akijibishana na mtu aliyemuita fisi yeye waziri mzima akamjibu kwa kumuita we ni mbweha,nikikumbuka kile kidaftari pale getini wizara ya afya,sakata la dr mwaka,nikikumbuka suggestion ya kutumia warembo huko utalii,plus kiki za juzi za ile press conference na ule mkutano wa Tokyo japan pale Rais kikwete alipotoka nje ya ukumbi kidogo,bwana Hamis akakalia kiti kwa dakika 27 na kutweet jinsi alivyokuwa Rais wa nchi kwa dk 27 nafurahi sana ,nikiunganisha na hiii picha basi ni buruuudanii toshaaaaaaa.
 
Kiukweli najua wengine wataona sieleweki ila kutokana na tabia ya huyu mheshimiwa,jinsi anavyojichukuliaga kama bonge la star na mchapakazi hodari,nikiona hii pic nacheka sana,yaani hapo deep inside anajiona amiri jeshi mkuu akikagua masoja wake walahi
nikukmbuka ile instagram post View attachment 689805 akijibishana na mtu aliyemuita fisi yeye waziri mzima akamjibu kwa kumuita we ni mbweha,nikikumbuka kile kidaftari pale getini wizara ya afya,sakata la dr mwaka,nikikumbuka suggestion ya kutumia warembo huko utalii,plus kiki za juzi za ile press conference na ule mkutano wa Tokyo japan pale Rais kikwete alipotoka nje ya ukumbi kidogo,bwana Hamis akakalia kiti kwa dakika 27 na kutweet jinsi alivyokuwa Rais wa nchi kwa dk 27 nafurahi sana ,nikiunganisha na hiii picha basi ni buruuudanii toshaaaaaaa.
Huyu jamaa ni mshamba sana watu wanasemaga korombwee
 
Back
Top Bottom