Hii picha ya Halima Mdee unaitafsiri vipi?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,847
Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..

Hii picha unaitafsiri vipi?
IMG-20210327-WA0017.jpeg
 
Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Kama hali hiyo ilikuwepo, basi ni baada ya kuuza kiti cha ubunge kwa Jima, siyo kabla.

Kiti kiliponyang'anywa tu, posa asiyoweza kuikataa ikawasilishwa kwake; na ndiyo iliyopelekea kukengeuka kote kule tulikokuona kwa hao COVID-19.

Magufuli hakuwa na simile na mtu. Nenda kawaulize Lowassa na Frederick watakueleza umafia wake, kama wa wale jamaa wa "GodFather" movie vile vile.
 
Back
Top Bottom